Hahaha..unabahat!!!...ungeropoka jina sa iz ungekua unaomba ushaur wa uende kwenu au ugande umo umo..tehe
Hahahahaha!! ningemuita MziziMkavu anipatanishe maana yeye ndiyo chanzo.
acha tu! Imekuwa kama hivi...tumepanda juu ya mti akatuambia ruken mtaangukia kny godoro,si tukajiachia tukaruka halafu yeye akaondoa godoro, MziziMkavu twajua una majukumu mengi lakini please dont leave us alone,666 wanakuja hao,au ndo wameanza na ww??Tehe tehe...mwenyew katutelekeza apa na hatuonan....sembuse aje kabsa!!...u ngeisoma no!
acha tu! Imekuwa kama hivi...tumepanda juu ya mti akatuambia ruken mtaangukia kny godoro,si tukajiachia tukaruka halafu yeye akaondoa godoro, MziziMkavu twajua una majukumu mengi lakini please dont leave us alone,666 wanakuja hao,au ndo wameanza na ww??
Like! like! Like! Like! Like hii ya kianalogia,kidigitali itafuata,duh!! Pastor Josiah atapona kweli??
Ni kweli nina Majukumu mengi nina wagonjwa ninawatibia Ma-Hospitalini wameshindwa kupona unaweza pia kunitembelea bonyeza hapa Mzizi MkavuNani kawaambia MziziMkavu anauza vitabu? Tutambue kuwa hata Mzizi ana majukumu tofauti na kuturushia hii kitu, nashauri tuwe na subra.