658??? Kweli Mwaka Mpya Noumar.... HAPPY BIRTHDAY PEOPLE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

658??? Kweli Mwaka Mpya Noumar.... HAPPY BIRTHDAY PEOPLE!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by AshaDii, Jan 1, 2012.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  "Dear J'efers"


  Naomba niwajuze kua hapa JF kuna watu leo ni Birthday zao..... Yaani wapo 658! Naamini ndio siku ambayo inavunja RECORD katika Mwaka Mzima wa JF kwa uwingi wa watu na Birthdays zao.... Wao peke yao wana uwezo kabisa ya kuendesha sherehe bila kutukaribisha fellow members....lol... Hata hivo sie kama members hatukubali kabisa vichanga washeherekee peke yao....

  Katika hilo kundi the oldest katika hio list anaenda kwa jina la Dre akiwa anafikisha 110 years na the Youngest wanafikisha mwaka 1 kwa majina ya Hahaha, Bakari Winza na Kakar. (whether true or not true wao wahusika ndo wajua). Waliopo in their 20s ndo waongoza kwa uwingi, wakifuatiwa in their 30s, then in their 40s na eventually in their 50s... (that tells us something i guess...lol...)

  Siwezi taja wooote BUT nimeona nitaje ambao walau twaonana nao mara kwa mara katia Forums mbali mbali hapa JF, Tena basi Leo wenye Birthdays wana bahati wanaishare na one of the JF Mods ambae pia hujichanganya nasi kwa saana.... Maarufu saana katika Jukwaa La Dini, na Founder wa Thread yetu ya Misosi.... (kwa wale wadau).

  Wakuu woooote wenye Bithday Leo na niliotaja hapa chini Nawatakia
  Birthday Njema na nawapongeza kua Mwaitimiza siku ambayo is considered as a day for
  “Fresh Starts” in Life... New hopes... In most cases everybody is happy today....
  Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Awajaalie
  na kuwapa Maisha Mareeeefu!


  Mamndenyi
  X-Paster
  YoYo
  Miss America
  Dark City (Mzee DC)
  Bundajo
  Lucky_c_Pesa  On behalf of JF Members I send warm Greetings
  scented with Love to a whole bunch of You!


  :flypig:“HAPPY BIRTHDAY AND A HAPPY NEW YEAR PEOPLE” :flypig:

  Pamoja saana

  AshaDii

   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  658??? kweli ni record! happy birthday kwa woooote!
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  wote nawatakia heri ya siku ya kuzaliwa pamona na mwanangu mpendwa
  Mungu awajali miaka mingi yenye afya na amani tele
  pia heri ya mwaka mpya 2012
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Happy new year aunt, hao watu una uhakika gani kama hawajadanganya!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Word! Mwali umevuka salama mwaka?

  Niece soma between the lines, nimegusia kua kama uongo ama kweli wao ndo wajua, si umeona wengine leo watimiza one year? lol

  Hongera saana Blacki womani. HONGERA for being a Mom na Hongera kwa mwanao kusongesha mwaka mmoja tena mbele... Regards to her na I hope umemuandalia hasa! lol... Na cake umepika mwenyewe.....
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Nauliza tu, hiyo list ya birthday za members inapatikana wapi?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nenda home page ya JF then kuna mahala kuna "new post" "Private messages" "Calender" "Community" "Forum Actions" "Quick Links"

  Hapo kwenye Calender ukifungua.... Kila tarehe ina number of Birthdays siku hio, na ukifungua further ina names za members na years (if the member in question ameacha for public)
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ahsante.

  Ili kama yangu for public nikaifunge haraka sana
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kumbe mods mnazichunguliaga details zetu eeh? Hahahah ndo maana huwa siandiki vya ukweli!!!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wengi wao sio birthday zao kweli. . . hapo unaweza kukuta wawili tu ndo wanasherehekea kweli.

  Walijaza tu hivyo wakati wanajiunga kwasababu ni rahisi.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hata hivo nafikiri it is impossible kujua birthday ya member mpaka siku i-HIT! Else atafute siku zoote 360 na kusoma majina. Labda kama member kaandika miaka na BD kwenye Profile.... Kama miaka yako ama Birth date yako haipo Profile, ina maana haipo Calender pia.
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  hahahaha... Kipipi... Naomba nisiseme mengi bali tu soma post number 7. Kila member hapa JF ana access na hio habari; Asante kwa kunipaisha lakini kua ni Mod.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mi nimeweka detail za ukweli,...hebu nichekieni halafu mpublish hapa miaka yangu
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nakubaliana na hapo blue... 658 is Great a number aisee.... Hata kam tuko more than fifty thousand members....
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Thenki yuu fo eksiplanesheni, ngoja nami niendage kuangalia manake unaeza jikuta watu wamekukodolea unacheza kiduku bila kujua!!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Rejao nimeenda kucheck profile yako.... Hamna habari ya Miaka yako pale... Ina maana hata kwenye Calender hamna. na ina maana pia kua ukitaka kujua umerecord miaka mingapi..... Only you have the authority... Mwingine hawezi.
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma mwayego, hapi nyu yiiia!!! Hahahah hilo la mods najua litapokelewa tu!! Btw, nawatakia besdei njema hao wakuu bila kumsahau 'kababy' wake Blaki woman!!
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  HAPPY NEW YEAR too Kipipi.... All the Best leo... Kesho na Kesho kutwa!
   
 19. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Jamani Adii, we ni unajali sana na una moyo wa ajabu hadi kwenda kukurupua huko kwenye kalenda lol....
  658, interesting!
  Naungana nawe katika kuwatakia heri wote hao nyingi hasa major General babu DC.
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hahahaha.... Asante JG.... Infact Babu DC ndo alinifanya niende huko and I was Like wooow! lol
   
Loading...