The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
PA Happy New Year To You.....
hahahaha.... You hesitate na hali I don't know her.... Please Naomba mfikishie salamu za pongezi saaaana. Everybody deserves that on their Birth Dates... Regards to her with Love....
Gee...Happy New Year To You....
....labda atapita mwenyewe mitaa hii kama nafasi itamruhusu, kama hakupita basi nitamfikishia salam.
Jibu lake HAPANA sisheherekei, ila huwa ninatafakari yale yaliopita na yajao, na kutathimini kila jambo ambalo nimeweza kulikumbuka kama nimelifanya kwa mafanikio ama lah! Je ninafanya makosa na kupitwa...!?Wewe unasherekea siku ya kuingia mwaka mpya?
Jee siku yako ya kuzaliwa unasherehekea?
Samahanini lakini watu husherehekea siku zao za kuzaliwa kwa nini?
Ukiiangalia kwa undani saana, ni kama vile haina umuhimu kwa kweli... ila tu in most cases kwa mtazamo wangu yaweza kua sababu zifuatazo...
- Ile tu utamaduni wa kuiga maana ni common knowledge kua Westerners ndo wathamini saana Birthdays.
- A chance ya kuangalia your life with a fresh eye... in the sense maybe waishi tu bila kutafakari umetoka, uko na waelekea wapi, na kama ulipo in relation na umri unatoa picha if the future is promising or not.
- Kulazimishwa na there close ones.... Kuna watu hawataki kabisa bugdha ya Birthdays, ila tu wakaribu wao ndo hulazimisha.
- Or simply as a reminder ya kusema I was born this day!
- An excuse to get reckless, lazy, or anything mtu ataka awe that day.... in the name ya ni "birthday yangu"
Watu wanajza tunaona, manake siku ya bday yangu sikuliona jina langu kwenye list nikakumbuka kumbe nilichakachua lol.
Heri ya mwaka mpya wote na nawatakia kila la kheri mfanikishe malengo yenu yote ya mwaka 2012 ambayo yenye nia nzuri.
Na kumsherehekea mwengine jee?
Naona it is more out of ushabiki tu.... Ila kwa upande wangu napenda saana Birthdays (hasa huku uraiani) kwa wale wa karibu wangu tu lakini, ni nafasi kwangu kuwaonesha to what extent I value them, hapo nitajipiga piga ninunue hata zawadi ambayo yaendana na taste zake.
Wee sport Fun.... Mzima wewe? Kheri ya Mwaka mpya nawe pia...
Hupendi kuimbiwa Birthday song wewe eeeh? lol
dahhhh
Hongera zao.
hata mi ningesahau birthday yangu ningechukua tu 1.1... rahisi kukumbuka ..
Na hii tunaweza iweka katika kufata Umagharibi pia.
Mtu utake kumuonyesha unam value kiasi gani ndo mpaka birthday?
Na mpenzi watataka kuonyeshana on Valentines day pia.