60% ya watumishi wa Halmashauri ya Msalala hawajapata mshahara

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Leo serikali imelipa mishahara, Chakushangaza zaidi ya 60% ya watumishi wa Halmashauri ya msalala mkoani Shinyanga hawajapata mishahara.

Sijajua shida Nini, maana wengine asubui na mapema wamelipwa.

Vipi kwenye halmashauri Yako?
 
Sisi huku Malinyi Toka juzi asbh tumepata[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ungana Kwenye Hii Upate Salary Kwa Wakati

No Reforms, No Election
 
Leo serikali imelipa mishahara, Chakushangaza zaidi ya 60% ya watumishi wa Halmashauri ya msalala mkoani Shinyanga hawajapata mishahara.

Sijajua shida Nini, maana wengine asubui na mapema wamelipwa.

Vipi kwenye halmashauri Yako?
Wewe sio mlipaji unawezaje kujua idadi Yao, ACHA uchonganishi
 
Huwa nashindwa kuelelwa pale mtumishi wa umma mshahara unachelellwa siku 2,3 anaanza kupiga mayowe mtaa mzima sasa najiuliza kama una
Kiu ya kuupata hivyo baada ya siku 7 si hiyo pesa itakuwa imekuishia?

Ifike mahali mtumishi wa umma ukicheleweshewa mshahara Maisha yaende kama kawaida
 
Sawa mkuu
 
Jana nimepita ATM nikakuta foleni ya kutosha, kumbe walimu mshapata mshahara!
 
Hiyo harmashauri imekaa kushoto sana na pili kulipa wazubuni ni wagumu utazani pesa ni zao
 
Back
Top Bottom