60% ya watumishi wa Halmashauri ya Msalala hawajapata mshahara

60% ya watumishi wa Halmashauri ya Msalala hawajapata mshahara

Kawaida sana hiyo, wala si ya kuiwekea bango hapa.
Kufikia leo, wote watakuwa wamepata.
Hakuna atakanyimwa mshahara wake.
Hili sio kawaida, yaani ofisi ni Moja wachache wamelopwa wengine hawajalipwa afu useme kawaida
 
PEPMIS ni ya kujijazia tu, hata hiyo mmeshindwa!
 
Huwa nashindwa kuelelwa pale mtumishi wa umma mshahara unachelellwa siku 2,3 anaanza kupiga mayowe mtaa mzima sasa najiuliza kama una
Kiu ya kuupata hivyo baada ya siku 7 si hiyo pesa itakuwa imekuishia?

Ifike mahali mtumishi wa umma ukicheleweshewa mshahara Maisha yaende kama kawaida
Siku 7 nyingi. Wa kwangu haumalizi siku tatu.
 
Back
Top Bottom