5G vs Starlink

So explain to me kama mtoto why Kenya miezi zaidi ya mitatu sasa hivi ipo loaded na kuna watu 19,000 na haijakua solved.
 
Satellite moja ya v2 inayotoa beams 60, kwa watu 100 inakuwa 6000, bado unabisha kiongozi?
 
So explain to me kama mtoto why Kenya miezi zaidi ya mitatu sasa hivi ipo loaded na kuna watu 19,000 na haijakua solved.
Zaidi nachoona mkuu ni commercial side, a satelite serving Kenya region generates less dollars per hour compares to a satelite serving Europe au US.

Kumbuka the satelite ni revenue generating asset and ina limited lifespan and inatakiwa kugenerate revenue XYZ katika kipindi cha uhai wake ili kulipia costs zake na kupata faida so wenye biashara yao wana-maximize kwenye returns kubwa. Unless Starlink warudi wapandishe bei ya Kenya ili kuwarrant more allocation ya satelites vinginevyo the revenue wanayopata kutoka hapo kwa sasa haimatch na speed ya kurudisha return ya investment.

Huenda kuna sababu ingine pia, i stand to be corrected
 
Sikatai reasoning hii, fair enough.
 
Kwa sababu PoPs ni chache..
Nishakuambia link ya juu ground station hazikua zikitumika Kenya kabisa siku zote na kazi ya ground station ni ku improve latency sio capacity, capacity ipo kwenye satelite, kama Kenya imezidiwa capacity ground station ina solve vipi hapo?

Mozambique, Rwanda na kwengineko pia hakuna ground station. Wanashare zilizopo, starlink inaweza tumia ground station yoyote ile duniani inaongezeka ping tu.
 
SI unaona umejijibu kabisa hapo..
Starlink wana kiwango chao standard cha latency..
Na ground stations zina kikomo cha ku connect bandwidth ya satellites.. sijui umeelewa?

Dunia nzima kuna ground stations 150, 3 zipo Africa kuhudumia Africa yeyote, hii unaonaje?
 
Nilisema n portable...
Na mimi nikauliza ukienda nje ya mji utabeba nyaya za faiba... au utabeba mnara wa 5G hadi nje ya miji au vijijini?
5g ipo phase ya kwanza. so bado inakua, vp na wanakijiji wanaweza kumudu gharama za kuinstall na kununua starlink?
 
Hujui chochote acha kujitia ujuaji ndugu, starlink wanaweka hadi kwenye gari na ndege na boti, gari inakwenda na internet unapata... punguza ujuaji mkuu..
dunia hii nani wa kumbebesha antena mzee, hata kama ni portable, yaani nibebe simu nibebe na antenna? πŸ˜‚
 
hata starlink ukienda nje ya mji
Nani anataka 5G ya 1GB unanunua Tshs 2000, ukisafiri kwenda nje ya mji connection hakuna...
hakuna umeme, au unataka kutuambia unatembea na solar kwenye begi? ***** michezo πŸ˜†
 
Mada nzuri lakini unakwama hapo kwenye matusi.
 
kumbe hakuna hata ground stations na unakuja kuBrag hapa πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
bei za starlink unazijua? yaani mtu wa kijijini aache kunua pembejeo anunune starlink bei zaidi ya laki. seriously?
 
sasa starlink packages zao unajua zinaanzia tsh ngapi? alafu mimi sipo kwenye faiba maana umekazana faiba faiba faiba. mimi nipo kwenye 5G, na hiyo starlink yako kwa speed haishindi 5G kaa ukijua hilo.
 
Ingekua issue ni ground station bandwidth isingepungua bali ping ingeongezeka. Ila tatizo la sasa bandwidth imepungua ina maana tatizo ni jengine sio ground station
 
bei za starlink unazijua? yaani mtu wa kijijini aache kunua pembejeo anunune starlink bei zaidi ya laki. seriously?
Kabla ya hio hela ya mwezi unatakiwa ulipe zaidi ya laki 5 ama zaidi ya milioni ununue Antenna kwanza,
 
We jamaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…