Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,088 Reaction score 72,506 Jan 16, 2014 #21 zegebovu1 said: baaaaa Click to expand... Nipo baunsaa hapa we semaa hakuna atakaekung'oa kuchaa wala meno be free
zegebovu1 said: baaaaa Click to expand... Nipo baunsaa hapa we semaa hakuna atakaekung'oa kuchaa wala meno be free
N ngege john JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 593 Reaction score 116 Jan 16, 2014 #22 Mademu,hatari sana.
zegebovu1 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 415 Reaction score 135 Jan 16, 2014 #23 Dinazarde said: Nipo baunsaa hapa we semaa hakuna atakaekung'oa kuchaa wala meno be free Click to expand... Ujue umenishtua sana mkuu sasa hata mwingiliano wa vi interest vidogo kama hivi mtu anaweza kukufanya kibogoyo na kipofu, bora nisitaje
Dinazarde said: Nipo baunsaa hapa we semaa hakuna atakaekung'oa kuchaa wala meno be free Click to expand... Ujue umenishtua sana mkuu sasa hata mwingiliano wa vi interest vidogo kama hivi mtu anaweza kukufanya kibogoyo na kipofu, bora nisitaje
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,168 Reaction score 8,936 Jan 17, 2014 #24 Du jamaa ana kibarua cha kula papai lilooza kila siku