BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
Kuna hatua aliruka ya ukuaji sasa inamuandama sasa! Labda wana-psychology watatusaidia zaidi kuelezea hii kitu.
Kuna habari kuwa bado anaenda night club huyu mheshimiwa
Kuna hatua aliruka ya ukuaji sasa inamuandama sasa! Labda wana-psychology watatusaidia zaidi kuelezea hii kitu.
Kuna siku baba Riz akiwa Uwanja wa Heathrow UK, pale lounge ya watu maarufu, ghafla David Beckham anapita kwenda zake US wakati akichezea timu ya LA Galaxy. Duh, baba Riz noma ikabidi avunje protocal kumkimbilia Becks wapige picha. Jamaa akapata ukumbusho wake faster na akamualika aje Tz.