50 cent na Baba Ridhiwani

50 cent na Baba Ridhiwani

Wasanii wamekutana watoe kolabo huyu rais bola aondoke yani ni full maigizo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sijaona picha akiwa amepiga na Boys II Men

Boys_ii_Men_with_Kikwete%5B1%5D.jpg
 
Rais wetu ama kweli bado kijana, inaonesha hapo aliwasaidia kidogo hao jamaa kumwaga mistari..maana inaonekana ni ukumbini na show inaendelea.

Anakula ujana atamiss safar za nje
 
Kuna siku baba Riz akiwa Uwanja wa Heathrow UK, pale lounge ya watu maarufu, ghafla David Beckham anapita kwenda zake US wakati akichezea timu ya LA Galaxy. Duh, baba Riz noma ikabidi avunje protocal kumkimbilia Becks wapige picha. Jamaa akapata ukumbusho wake faster na akamualika aje Tz.
 
Rais wetu ama kweli bado kijana, inaonesha hapo aliwasaidia kidogo hao jamaa kumwaga mistari..maana inaonekana ni ukumbini na show inaendelea.

Kuna hatua aliruka ya ukuaji sasa inamuandama sasa! Labda wana-psychology watatusaidia zaidi kuelezea hii kitu.
 
Back
Top Bottom