5 Star Hotel Saudi Arabia Yatumika Kama Jela

Huo ukoo itakuwa hawapendani,mtu anamfunga mjomba,binamu,ba mkubwa saa ingine hata kuuliwa,
Elungata hebu nifafanulie hapa, inamaana hawa Wana Mfalume wamefunguliwa hayo Mashitaka na Baba yao ama niaje? Au huyo aliepo Madarakani ni nani yao?
 
Hakuna kitu kibaya kama kunyimwa uhuru wa kujiamulia mambo yako kwa utashi wako mwenyewe
 
Teh!, hawa watu ni shiider!

Sijui kuna ukweli kuwa hivi vitu vilionekana huko..🙂

th-36.jpeg
th-41.jpeg

th-47.jpeg
 
Aisee waje wanikamate na mimi wanipeleke huko,wanachagua makosa ya kifisadi tu au kosa lolote mkuu.
Hahahaha hukumu ikitoka ni kutenganisha kichwa na kiwiliwili (decapitation).
Bado unahitaji?
 
Elungata hebu nifafanulie hapa, inamaana hawa Wana Mfalume wamefunguliwa hayo Mashitaka na Baba yao ama niaje? Au huyo aliepo Madarakani ni nani yao?
kwa ufupi,mwanzilishi wa modern saudi arabia ni Abdulaziz bin Saud,
sasa alipofariki waliokuwa wakimrithi ni watoto wake,
na huyu aliepo mzee salman bin abdullaziz bin saud,
ndo kaharibu utaratibu na sasa kamweka mwanae ndo akifa aje awe mfalme,
huyu mwanae,mohamed bin salman sasa ndo anawakamata na kuwaweka chini ya ulinzi,ndugu zake kabisa kwa maana ya watoto wa baba mkubwa,baba mdogo,mabinamu,wajomba etc
 
Huyu Maana Mfalme ni Mlafi wa madaraka anaofia kupinduliwa na ndugu zake kwenye hiyo nafasi kwakua aliipata Kwa figsu siyo yeye aliyekua anastaili..apo anatumia Ufisadi kama kinga ila ni pure dikteta
 
Hiyo nchi Itasarambatika soon na USA anawatime tu wanyang'anyane fito...Saudia anateswa na kivuli cha kukua Kwa kasi kwa Taifa la Quartar sasa huu mvurugano wa ndani bado anapgana vita na waasi wa Yemen Kaz anayo
 
kwa ufupi,mwanzilishi wa modern saudi arabia ni Abdulaziz bin Saud,
sasa alipofariki waliokuwa wakimrithi ni watoto wake,
na huyu aliepo mzee salman bin abdullaziz bin saud,
ndo kaharibu utaratibu na sasa kamweka mwanae ndo akifa aje awe mfalme,
huyu mwanae,mohamed bin salman sasa ndo anawakamata na kuwaweka chini ya ulinzi,ndugu zake kabisa kwa maana ya watoto wa baba mkubwa,baba mdogo,mabinamu,wajomba etc
Ahsante sana Mkuu Elungata., Je,huyu Mzee Salman bado yupo hai au ameshafariki? Mana naona hii mambo ni Mpya kwa Saud Arabia..,
 
Bado yu hai anaburuzwa na kijana toka hata hajamfanya kuwa crown prince.
Ndiye mastermind wa vita ya yemen, saga la kuitenga Qatar, chokochoko na Iran.
Jamaa ni too ambitious
 
Kiongozi nmekupata Vema, ss huyu Dogo ana Cheo gani kwenye hyo Serikali ya ss ikiwa Baba yake ndo Mfalme?
 
Ahsante sana Mkuu Elungata., Je,huyu Mzee Salman bado yupo hai au ameshafariki? Mana naona hii mambo ni Mpya kwa Saud Arabia..,
kuna hili kundi linaitwa Sudair seven,

hawa ni kaka wa damu kutoka kwa baba mmoja,mwazilishi wa saudi arabia king Abdullaziz ibn saud na mkewe bi Hussa bint ahmed al sudairi,
hawa sasa watoto wa mama mmoja ndo walihodhi madaraka ya kujiteua wafalme baada ya kifo cha king Faisal,
ufalme umebaki kwa hawa wana wa mama mmoja bint sudairi,
sasa katika waliobaki hai ni huyu mfalme wa sasa Salman na Abdulhaman bin abdullaziz ambae aliwekekewa kauzibe kuwa hatakuja kuwa mfalme,
sasa mfalme salman alipokamana madaraka akamteuwa mohammed Nayef,mtoto wa kaka yake aitwae Nayef bin abdulaziz ambae hakufanikiwa kuwa mfalme katika wale saba akamweka kama crown prince,

sasa sijui ametubuana nini,akamtoa na kuweka mwanae,

sasa nadhani ukoo ulinung'unika,ndo wakaanza kuwaweka ndani,
mbaya zaidi mtoto wa mfalme Fahd ambaye ni kaka wa salman
alieitwa Abdullaziz bin Fahd bin abdulaziz al saud inasemekamekana kauawa,
na alikuwa very critical kwa huyu crown prince mpya,

mwingine nasikia nae amekufa katika ajali ya helcopter
 
Kiongozi nmekupata Vema, ss huyu Dogo ana Cheo gani kwenye hyo Serikali ya ss ikiwa Baba yake ndo Mfalme?
Ni crown prince yani yeye ndiye mfalme atakayefuata.
Ndiye kiongozi wa taasisi ya kupambana na ufisadi ndiyo maana kawakamata hao ndugu zake na baba zake wadogo.
Na ni waziri pia
 
Hata kwenye kikao cha kumteu nayef kama crown prince siyo wote waliokubariana...
Hili inavyoonekana halikuanza leo inaelekea kulikuwa kuna kutokubariana since 2013 sema sasa mambo yameanza kuwa hadharani
 
Kiongozi nmekupata Vema, ss huyu Dogo ana Cheo gani kwenye hyo Serikali ya ss ikiwa Baba yake ndo Mfalme?
kuna mfalme
then anafuatia Crown prince ambaye automatically akfa mfalme anakuwa king,then kuna Deputy crown prince
 
Kiongozi nmekupata Vema, ss huyu Dogo ana Cheo gani kwenye hyo Serikali ya ss ikiwa Baba yake ndo Mfalme?
kuna mfalme
then anafuatia Crown prince ambaye automatically akfa mfalme anakuwa king,then kuna Deputy crown prince
 
Ni crown prince yani yeye ndiye mfalme atakayefuata.
Ndiye kiongozi wa taasisi ya kupambana na ufisadi ndiyo maana kawakamata hao ndugu zake na baba zake wadogo.
Na ni waziri pia
yaani huyo jamaa aliunda taasisi sikuhiyohiyo baada ya masaa mawili ikaanza kukamata watu,hakuna cha upelelezi wala nini unakamatwa account wanakamata,
wamekusanya nasikia karibu dollar bilion 100.

*.Prince Al-Waleed Bin Talal(Billionaire owner of The Kingdom Holding group 17.1B USD net worth)
*.Prince Mitaab Bin Abdullah (Former Minister of the National Guard)
*.Prince Turki Bin Abdullah (Former Governor of Riyadh(Capital))
*.Prince Turki Bin Nasser
*.Waleed Ibrahim (Owner of MBC Media Company 10.9B USD net worth)
*.Khaled Al-Tuwaijri (Former President of the Royal Court)
*.Adel Faqih (former labor minster and current economy and planning Minister)
*.Omer Dabbagh (Former president of the General Investment Authority)
*.Saleh Kamel (Billionaire 2.2B USD net worth)
*.Saud Al-Tobaishi (Head(former?) of Royal ceremonies and protocols)
*.Ibrahim Al-Assaf (Former Finance minister and current state minister)
*.Bakr Bin Ladin (Owner of Bin Ladin Group)
*.Saud Al-Dawish (former CEO of Saudi Telecom Company)
*.Khaled Al-Mulhem (former Director General at Saudi Arabian Airlines).

Makosa yao

1.
Prince Al-Waleed Bin Talal(Billionaire owner of The Kingdom Holding group 17.1B USD net worth)
Accused of money laundering.
2.
Prince Mitaab Bin Abdullah (Former Minister of the National Guard)
Accused of making fake weapon purchases and landing contracts to his private companies.
3.
Prince Turki Bin Abdullah (Former Governor of Riyadh(Capital))
Accused of using his influence to land Riyadh city train contracts to his personal companies.
4.
Prince Turki Bin Nasser
Involved in fake weapons deals and "the black dove scandal"
5.
Waleed Ibrahim (Owner of MBC Media Company 10.9B USD net worth)
Accusations of being involved with previous four and working as a mediator for the fake contracts.
6.
Khaled Al-Tuwaijri (Former President of the Royal Court)
Accusations of using his influence to bribe and mediate government contracts to certain people in the name of the King.
7.
Adel Faqih (former labor minster and current economy and planning Minister)
His involvement in Jeddah corruption case that lead to the death of 100 people in 2009 Jeddah floods.
8.
Omer Dabbagh (Former president of the General Investment Authority)
Accusations of creating fake contracts and embezzling the budgets for all the economical city projects during King Abdullah era.
9.
Saleh Kamel (Billionaire 2.2B USD net worth)
Involvement in the Jeddah corruption case and the 2009 Jeddah floods.
10.
Saud Al-Tobaishi (Head(former) of Royal ceremonies and protocols)
Using his influence to embezzle money from the government in the Kings name.
11.
Ibrahim Al-Assaf (Former Finance minister and current state minister)
Well this guy is the Minister of treasury you draw the dots
12.
Bakr Bin Ladin (Owner of Bin Ladin Group)
Bribery and corruption.
13.
Saud Al-Dawish (former CEO of Saudi Telecom Company)
Involved in the embezzlement case of $1.8 billion by double billing the entire country.
14.
Khaled Al-Mulhem (former Director General at Saudi Arabian Airlines)
Involved in contract fraud and embezzlement.
*.
 
Back
Top Bottom