Saudi Arabia yawasweka ndani bilionea maarufu, watoto 10 wa kifalme na mawaziri wastaafu kwa tuhuma za rushwa


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,104
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,104 280
Saudi Arabia Jumamosi imetangaza kuwakamata bilionea na muwekezaji maarufu Mwanamfalme Awaleed bin Talal pamoja na wanawafalme wengine wasiopungua 10 mawaziri wanne na makumi ya mawaziri wastaafu kwa tuhuma za rushwa

Kukamatwa kwa Mwanamfalme Alwaleed kumetikisa Saudi Arabia pamoja na vituo vya uwekezaji duniani

Anamiliki kampuni za za uwekezaji nchini humo na ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani akiwa anamiliki au ameshawahi kumiliki hisa nyingi katika mashirika ya habari, Citigroup, Twitter pamoja na makampuni mengine makubwa. Mwanamfalme huyo pia anamiliki mtandao wa televisheni unaotazamwa kwa eneo kubwa la Uarabuni

Kampeni hiyo ya kukamatakamata inaonekana kama njia ya kujiimarishia mamlaka ya mfalme mtarajiwa Mohammed bin Salman, mtoto wa Mfalme Salman

Akiwa na umri wa miaka 32 tu tayari mtoto huyo ana sauti kubwa kwenye jeshi la Saudi sera za kiuchumi, kijamii na za nje jambo linaloleta malalamiko katika familia ya kifalme kuwa amaejilimbikizia nguvu kubwa akiwa katika umri mdogo

Vituo vya ndege binafsi vilifungwa kwa ajili ya kuzuia wanawafalme wengine wasitoroke kabla ya kukamatwa
05saudi-master768-jpg.624668

=====================================================

LONDON — Saudi Arabia announced the arrest on Saturday night of the prominent billionaire investor Prince Alwaleed bin Talal, plus at least 10 other princes, four ministers and tens of former ministers.

The announcement of the arrests was made over Al Arabiya, the Saudi-owned satellite network whose broadcasts are officially approved. Prince Alwaleed’s arrest is sure to send shock waves both through the kingdom and the world’s major financial centers.

He controls the investment firm Kingdom Holding and is one of the world’s richest men, owning or having owned major stakes in News Corp, Citigroup, Twitter and many other well-known companies. The prince also controls satellite television networks watched across the Arab world.

The sweeping campaign of arrests appears to be the latest move to consolidate the power of Crown Prince Mohammed bin Salman, the favorite son and top adviser of King Salman.

At 32, the crown prince is already the dominant voice in Saudi military, foreign, economic and social policies, stirring murmurs of discontent in the royal family that he has amassed too much personal power, and at a remarkably young age.

The king had decreed the creation of a powerful new anti-corruption committee, headed by the crown prince, only hours before the committee ordered the arrests.

Al Arabiya said that the anticorruption committee has the right to investigate, arrest, ban from travel, or freeze the assets of anyone it deems corrupt.

The Ritz Carlton hotel in Riyadh, the de facto royal hotel, was evacuated on Saturday, stirring rumors that it would be used to house detained royals. The airport for private planes was closed, arousing speculation that the crown prince was seeking to block rich businessmen from fleeing before more arrests.

Prince Alwaleed was giving interviews to the Western news media as recently as late last month about subjects like so-called crypto currencies and Saudi Arabia’s plans for a public offering of shares in its state oil company, Aramco.

He has also recently sparred publicly with President Donald J. Trump. The prince was part of a group of investors who bought control of the Plaza Hotel in New York from Mr. Trump, and he also bought an expensive yacht from him as well. But in a twitter message in 2015 the prince called Mr. Trump “a disgrace not only to the GOP but to all America.”
 
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,716
Likes
4,084
Points
280
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,716 4,084 280
Elibariki wa Old Moshi, Kilimanjaro.

Enyi waarabu, kuweni makini inawezekana ni hujuma zinafanyika.
 
TuntemekeSanga

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
961
Likes
188
Points
60
TuntemekeSanga

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
961 188 60
Magufuli ametoa somo hadi Uarabuni. Safi sana
 
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
1,158
Likes
1,085
Points
280
JUAN MANUEL

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
1,158 1,085 280
Magufuli ametoa somo hadi Uarabuni. Safi sana
Somo lipi,fisadi gani kafungwa?kufikishwa mahakamani sio kufungwa,
Mahakama ya mafisadi,haina kesi hata moja mpaka Leo,walioshiriki kusimamia mikataba mibovu,wanapewa uwaziri,watoa rushwa,wanateuliwa kushika nyadhifa,hakuna somo hapo!
 
TuntemekeSanga

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
961
Likes
188
Points
60
TuntemekeSanga

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
961 188 60
What we have to discuss ni issue ya uthubutu alioonesha JPM. I'm sure huu nimwanzo. Ever since yuko determine juu ya habar hii, lazima unayoyaongea hayo yachukue nafasi muda si mrefu.

Vp kina Singasinga, wako wapi saa izi? Maana ni miongoni mwa uthubutu alouonesha. Sema sjafatilia inaendaje sagga hiyo.

Wapo wengi tu wanaendelea kushughulikiwa
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
1,869
Likes
1,166
Points
280
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
1,869 1,166 280
Elibariki wa Old Moshi, Kilimanjaro.

Enyi waarabu, kuweni makini inawezekana ni hujuma zinafanyika.
Naona unautafuta umaarufu wa jose
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,436
Likes
117,316
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,436 117,316 280
Hakuna uthubutu wowote ule wakati yeye mwenyewe anagawa rushwa usiku na mchana. Usikubali akili yako irubuniwe na huyu dikteta uchwara, mwizi, fisadi, muongo na mgawa rushwa.

What we have to discuss ni issue ya uthubutu alioonesha JPM. I'm sure huu nimwanzo. Ever since yuko determine juu ya habar hii, lazima unayoyaongea hayo yachukue nafasi muda si mrefu.

Vp kina Singasinga, wako wapi saa izi? Maana ni miongoni mwa uthubutu alouonesha. Sema sjafatilia inaendaje sagga hiyo.

Wapo wengi tu wanaendelea kushughulikiwa
 
ijooo

ijooo

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Messages
702
Likes
1,022
Points
180
ijooo

ijooo

JF-Expert Member
Joined May 13, 2017
702 1,022 180
Alwaleed is self made billionaire he has a vision 2030 saudia isitegemee only oil and taxes.So acha kumfaninisha na magufuli anaendesha lori while wishing to be IGP.
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,253
Likes
15,355
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,253 15,355 280
Hawa jamaa wanajua kutumia hela, hela ya mafuta kweli ina nguvu, sijui Tanzania ni lini tutachimba mafuta yetu, gass naona michosho
 

Forum statistics

Threads 1,235,594
Members 474,671
Posts 29,228,068