Ya kuchora au ya kupiga? Mbona hizi picha ni hyperrealistic sanaHuyu jamaa ni noma kwenye 3D paint... Kama unamkali zaid mtupie na wewe
View attachment 1972720
View attachment 1972721
Mbona kama ni real object🤔🤔🤔
Hii hapana bro🤣🤣🤣🤣
Huyu kawaida mno haishtui labda huko uchawini Gamboshi🚮🚮🚮🚮🚮
Na uwizard piaDuuuh kwel kuna watu wana vipaj
Bwana hio ni glass imewekwa hapo...... Balaaaa
Jamaa anafahamikaje huko YouTube?
Nawaza katumia rangi gani kuchora glassHii hapana bro🤣🤣🤣🤣