Safari_Clothmyride: Msaada anayejua gharama zao

shaman

Member
Jun 22, 2012
94
182
Habari ya weekend wakuu
Naomba mwenye kujua gharama za hawa jamaa kuhusu
1.Painting ya magari
2.Upholstery service
Nimevutiwa na kazi zao kule page yao instagram ..nikaona niulize kama kuna watu walishafanyiwa kazi nao bei zipoje
Natanguliza shukrani
 
Hao ndio sawa na Safari Upholstery? Kama unataka ndani gari iwekwe ngozi nenda kwa Safari au Azam. Wengine bado sana.

Sema jiandae hela nyingi. Mfano unataka ufanye kwenye gari gani?

Reference: BMW 2002 E46 seat, roof, steering wheel, milango, na buti, Safari walisema 3.5m.
 
Asante kiongozi..sijajua kama ndiyo hao hao Safari upholstery ila kwenye page yao naona wanafanya issue za kupimp magari (rangi,interior restoration,issue za lights etc)..
Gari ni lexus (inayofanana na tako la nyani)
 
Ni watu wawili tofauti hao huyu Safari Clothmyride ni Mdada tho bei zao sizijui ila huyo dada na team yake wamenyooka sana naona zile TDI zinavyofufuliwa sio kitoto.

Huyu Safari upholstery ni jamaa fulani yeye naona ka base na Interior sana sana.
 
Huyu dada wa safari clothmyride labda kajitenga na safari automotive, alikuwa huko. Tho hata vitu vingi anaonekana kama bado ana uhusiano nao. Naona sana yeye ni body work
 
kampuni ni ya mtu mmoja iko under name ya SAFARI, huyo dada ni manager tu wa hyo segment ya restoration na kufufua magari upande wa mechanics na panel beating, kiufupi jamaa kaajiri madem tupu kwenye kampuni yake hasa upande wa management za segments na branches.
Na ni vyombo wadada alowaweka kibiashara hii jamaa kajua kucheza na wa TZ😀😀😀
 
Back
Top Bottom