Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,665
- 6,439
Huyu jamaa ni noma kwenye 3D paint... Kama unamkali zaid mtupie na wewe
Huyu jamaa ni noma kwenye 3D paint... Kama unamkali zaid mtupie na wewe
View attachment 1972720
View attachment 1972721
Hawa wanatumiaga rangi za maji naskiaHii kitu inanimaliziaga mbs zangu kule yuotube. Jamaa wanachora kwenye karatasi afu ukiangalia unaona kabisa kama uhalisia.
Najua kuchora ila hapo kwenye rangi nfia shida kuchanganya. Natumia pencel tu.
Hapo kwenye Macho ni noma
Ndo Sana'a na ubunifu wenyeweMbona kama kamvisha kuku karatasi
Huyu jamaa ni balaaHuyu jamaa ni noma kwenye 3D paint... Kama unamkali zaid mtupie na wewe
View attachment 1972720
View attachment 1972721