360 ya Clouds tv: Mazingaombwe ya JWTZ

360 ya Clouds tv: Mazingaombwe ya JWTZ

Dah kizazi cha sasa ni shida, mtu anashangaa mazingaombwe jeshini, wakati jeshi ni kila fani ni uwezo wa nchi ndio unadidimiza jeshi, kuna kitengo cha michezo na burudani, nadhani ndiyo taasisi ya serikali iliyobaki kujihusisha na michezo kikamilifu. Kwa taarifa yako kuna kambi imewekwa huko Zanzibar, ya michozo mbalimbali wanaenda nchini Rwanda kushiriki mashindano ya Majeshi.

Si uchawi (In RAS simba's Voice)
 
Haya maajabu yao wangeyapeleka kibiti ingekuwa poa sana
 
Hulijui jeshi......

Jeshi ni instituition iliyo kamilika. Kuna kada zote hao wapo kweny burudani , kuna wengine unaonag wanapiga bendi, wana afya, injinia n.k lakini kitu comon kati yao ni askari, wanaweza kulinda nchi , wapo tayari pale wanapo hitajika.

Sasa huyu anaedhani maisha ya jeshi letu ni magic tupu, atazame tena akili yake.


Heshimu Jeshu letu, watu wanaumia kwa ajili ya nchi.

Ukija kuona au kuendesha mafundisho ya kijeshi mnaeza badili fikra zenu juuu ya jeshi...

Yote kwa yote jeshi ni zuri na linaweza kuendana na mazingira yoyote
 
Hizi mbwembwe zingepelekwa Kibiti ingekuwa safi sana pamoja na kwenye iyo picha China.
Screenshot_2017-06-29-18-56-41.png
 
Back
Top Bottom