360 ya Clouds tv: Mazingaombwe ya JWTZ

360 ya Clouds tv: Mazingaombwe ya JWTZ

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
518
Reaction score
593
Leo nimetazama kipindi asubuhi.
Yaani JWTZ wana kitengo cha MAGIC, leo nimeina wanatafuna CHUPA, karatasi inakua NJIWA, NJIWA anakuwa PAKA, Pia wamesema wamefundishwa eti si UCHAWI. kumbe hata yale matofali ni hovyo...

TANZANIA YA MAGIC...
Tazameni muone
 
leo nimetazama kipindi asubuhi.
yani JWTZ wanakitengo cha MAGIC,
leo nimeina wanatafuna CHUPA,
karatasi inakua NJIWA,
NJIWA anakuwa PAKA,
Pia wamesema wamefundishwa eti si UCHAWI.
kumbe hata yale matofali ni hovyo...
TANZANIA YA MAGIC...
tazameni muone
Nilidhani ni Sungura, kumbe paka.
Ila yule Mla Glass katisha aisee
 
hiyo magic ingepelekwa kibiti ingesaidia sana, wangewageuza wale wauwaji kuwa panya then hao njiwa walogeuzwa paka wakawatafuna hao panya.

yan wakati roho za raia zinaangamia kule kibiti wao wana mda hadi wa kucheza mazingaombwe kwenye tivii???? kweli uchungu wa mwana aujuae mzaz
 
Dah kizazi cha sasa ni shida, mtu anashangaa mazingaombwe jeshini, wakati jeshi ni kila fani ni uwezo wa nchi ndio unadidimiza jeshi, kuna kitengo cha michezo na burudani, nadhani ndiyo taasisi ya serikali iliyobaki kujihusisha na michezo kikamilifu. Kwa taarifa yako kuna kambi imewekwa huko Zanzibar, ya michozo mbalimbali wanaenda nchini Rwanda kushiriki mashindano ya Majeshi.
 
leo nimetazama kipindi asubuhi.
yani JWTZ wanakitengo cha MAGIC,
leo nimeina wanatafuna CHUPA,
karatasi inakua NJIWA,
NJIWA anakuwa PAKA,
Pia wamesema wamefundishwa eti si UCHAWI.
kumbe hata yale matofali ni hovyo...
TANZANIA YA MAGIC...
tazameni muone
Heee
 
Wahenga walisema ukiona hivyo, hebu geuza viatu vyako uvae kinyume...yaani kiatu cha kulia wewe kivae mguu wa kushoto and the rest. Hapo utaweza kuwakamata hao wana mazingaombwe!!!... Utauona uchawi wao hadharani......wahenga bwana...hahahaha!
 
Ndio hivyo tena tutafanyaje. Wakati Isaac Newton anaandika "philosophiae Naturalis Principia Mathematica" mwaka 1687, huku kwetu babu zenu walikua wanacheza ngoma, kurukaruka kwenye miti, wanafanya mapenzi na kuzaliana tu. Hii leo wakati marekani wanafanya majaribia ya THAAD (Terminal High Atitude Area Defence) huku kwetu jeshi linabadilisha njiwa kuwa paka na kuvunja matofari. I guess that is just who we are!!
 
Wahenga walisema ukiona hivyo, hebu geuza viatu vyako uvae kinyume...yaani kiatu cha kulia wewe kivae mguu wa kushoto and the rest. Hapo utaweza kuwakamata hao wana mazingaombwe!!!... Utauona uchawi wao hadharani......wahenga bwana...hahahaha!
Niliwahi kujaribu hii nikiwa primary wakati wa mazingaombwe lakini hakuna chochote cha tofauti!
 
hiyo magic ingepelekwa kibiti ingesaidia sana, wangewageuza wale wauwaji kuwa panya then hao njiwa walogeuzwa paka wakawatafuna hao panya.

yan wakati roho za raia zinaangamia kule kibiti wao wana mda hadi wa kucheza mazingaombwe kwenye tivii???? kweli uchungu wa mwana aujuae mzaz
Ni maamuzi na hatua nzuri wamefikia..
Moja ya kazi ya JESHI ni pamoja na kuwapa Wananchi raha.

Jeshi la Wananchi na RAIA, ni kama/sawa na Chai na Mkate (Best couple)

Kazi ya Jeshi ni pamoja na kulinda mipaka ya nje ya nchi.

Kulikoni mnataka kuwaingiza katika mgogoro wa KIRAIA, tena kwa gharama ya Siasa..!?

Wamekwenda mpaka Rufiji/Kibiti wameusoma mchezo wakaelewa kila kitu.

Ni kazi ya Wanasiasa, wakishirikiana na Polisi na Raia wema, kuhakikisha wanaumaliza huu mgogoro, amani ya KIBITI/RUFIJI iweze kurejea.
 
Back
Top Bottom