leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 1,313
- 6,020
Nasoma na si kila kitu lazima nijibuNahisi wana like tu maana leo dada ata hapa naona analike tu hajajua kama ni yeye mnamuomgelea😂
Nasoma na si kila kitu lazima nijibuNahisi wana like tu maana leo dada ata hapa naona analike tu hajajua kama ni yeye mnamuomgelea😂
Upo vizuri sana mangi....Mtani karibu tulewe bwashee
Kwann bwashee?Upo vizuri sana mangi....
Nakuaminia sanaKwa sebule hapa
Wahaini pekee ndio watanipigia kura MimiPigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Wasoma mada au watoa likes? 😹😹
Umepewa upendeleo 😅Wasoma mada au watoa likes? 😹😹
Btw mi nimeshangaa hata nimefikaje kwenye hilo shindano coz najijua mada nyingi humu sisomi.. huwa nachagua zinazonivutia tu..!!
Kabisaa 😹😹😹Umepewa upendeleo 😅
NdioHivi huwa mnajichagua wenyewe mnaojuana huko pm?
naona we ndio utaibuka kidedeaNdio
Mimi ni gelesha tu hapo, sina hizo sifa😆naona we ndio utaibuka kidedea