Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,366
- 4,554
Alisema washkaji zake Rancho wakipata ajira, anyolewe sharubuPROFESSOR VIRUS
View attachment 966007
MTAALAMU WA KUANDIKA KWA MIKONO MIWILI
View attachment 966011
ILA HAWA VIJANA WATATU WALIMPA TABU SANA
View attachment 966013
HAHA AMAIZING.................
View attachment 966014
Hollywood nako niko pia, Thanos alinikera kweli kweli dunia nzima watu wamepeperuka mpaka Samuel Jackson akashindwa kumalizia msemo wake pendwaKaribu pia hollywood umuone thanos the baddest anavyonyoosha watu....
````
can you tell me a story behind this signature??
A simple person who hides thousands of feelings behind a smile
April kitu cha grand finale kinaruka hewanii tuone Thanos atakufaje au ndio mashabiki tutabaki kumshabikia jambazi kwakua ana nguvu sana.. The first time naiona nilitaka kulia yaani kisa demu mpuuzi mmoja (Chriss Pratt & Zoe saldan)kasababisha ulimwengu upukutikeHollywood nako niko pia, Thanos alinikera kweli kweli dunia nzima watu wamepeperuka mpaka Samuel Jackson akashindwa kumalizia msemo wake pendwa
Story behind that signature is, idadavue tu hiyo signature utaielewa.
Kuna clip nliiona Chris Pratt alikua ameenda cinema alivyo fika watu wakaanza kum boo sababu yeye ndio source ya kila kitu wanasahau ni movieApril kitu cha grand finale kinaruka hewanii tuone Thanos atakufaje au ndio mashabiki tutabaki kumshabikia jambazi kwakua ana nguvu sana.. The first time naiona nilitaka kulia yaani kisa demu mpuuzi mmoja (Chriss Pratt & Zoe saldan)kasababisha ulimwengu upukutike
Niliumia sana Doctor strange kufaaa
nakukumbusha ratiba ya december iko iviiii
View attachment 966067
Wee mdharau tu deadpool hujui kama ndio atawarudisha wote waleee waliokufa naona wengi mitandfaoni wansema hakuna sababu ya kuitoa hii muvi.. ila marvel hua hawakosei..Kuna clip nliiona Chris Pratt alikua ameenda cinema alivyo fika watu wakaanza kum boo sababu yeye ndio source ya kila kitu wanasahau ni movie
Naisubiria Aquaman kwa hamu zote wasije kuni disappoint tu. Hiyo deadpool naona uchwara tu
Anti man ndio ataokoa jahazi naona.Wee mdharau tu deadpool hujui kama ndio atawarudisha wote waleee waliokufa naona wengi mitandfaoni wansema hakuna sababu ya kuitoa hii muvi.. ila marvel hua hawakosei..
Harafu haya majina ya Chriss mbona yanatumiwa na marvel sana ref. chris evans~captain Ame, Chris hamosworth thor, and pratt
View attachment 966078
Noo ni dead pool why?? ana healing power ukimua anarudi tenaAnti man ndio ataokoa jahazi naona.
Imetokea kama coincidence tu hayo majina ya chris.
Mbona hajamrudisha mpenzi wakeNoo ni dead pool why?? ana healing power ukimua anarudi tena
Kaswali kagumu ila i guess atamnynganya thanos time stone kisha arudishe muda nyuma warudi wataalamu wamdhibiti thanos. nawaza tuuMbona hajamrudisha mpenzi wake
Angalia bajrangi bhaijaan ya Salman khan na uhakika utakuja kuedit uzi.Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus"This is symbol of excellence "
Hahahaa trailer imeshatoka hujaiona?? Ant-Man akiingia masikion mle lazika thanos akomeKaswali kagumu ila i guess atamnynganya thanos time stone kisha arudishe muda nyuma warudi wataalamu wamdhibiti thanos. nawaza tuu
mbona sijamwona ant man hapa, hebu weka tumuonee hiyo trelaHahahaa trailer imeshatoka hujaiona?? Ant-Man akiingia masikion mle lazika thanos akome
Sijawahi angalia movie za kihindi na sijawahi kuzipenda ila hii ni habari nyingine... One of the finestAisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus"This is symbol of excellence "
Huyo aliyegonga hapo mwishoni hujamtambua? Kuanzia 2:08mbona sijamwona ant man hapa, hebu weka tumuonee hiyo trela
Tafuta barf! Utanikunbuka..Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus"This is symbol of excellence "
To me naipenda sana "it's not a love story, it's a saga"Aisee mambo niaje wakuu?