Hizi ni baadhi tuHuyo sijaangalia movie zake za mjini zenye magari apart from baahubali. Ofcourse nayo uwongo mwingi.
Ajay naye mzushi sana halafu baba ake mzee devgan ndio action choreographer. Mimi movie akiwepo Ajay siangalii except Ishq
Bajranj iliwaleta wahindi na wapakistani pamoja. Halafu wahindi na wapakistani ni maadui sanaKuna movie ya Salman Khan inaitwa bajranj bhaijaan ni moja kati ya emotional movies bora zaidi kuwahi kuziona bila ya kusahau ya Ajay inaitwa dryshyam zote ni za 2015
Uko sahihi! Aamir Khan ni great thinker, philosopher and activist via his movies.Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Nitatafuta na hizo nyingine. Baahubali nilizipenda sana zile story line zake. John Abraham hasikiki kabisa sijui kwanini.Hizi ni baadhi tu
Binafsi namkubali mno japo anauongo mwingi ila story zake zinaeleweka..
Naona anamshinda hadi John Abraham
View attachment 965906
View attachment 965912
View attachment 965907
View attachment 965908hiii kuna uongo wa hatariii mtuu anabebwa kama pipi Inaitwa Lebel
View attachment 965910
View attachment 965911
Huu mwaka naona katoa filamu 2 tu.. hata yule jamaa aliyecheza nae kama adui kwenye Force naona atamshindaNitatafuta na hizo nyingine. Baahubali nilizipenda sana zile story line zake. John Abraham hasikiki kabisa sijui kwanini
Love stories zao na action zao, kinachonivutia hasa ni story zao zina uhalisia japo mi ni mwathirika wa filamu za marekani hasa DC & Marvel ila wahindi stori zao zimetulia mnoo. kuna chaneli DSTV inaitwa B4U ndio hua napenda kuangalia hazijatafsiriwa pia zina Subtittles nyingine zile za azam na startimeWewe unapendelea zaid movie gani kutoka Bollywood
😂😂😂😂alifanya mshkaji Yule joe robo kujinyonga kwa ukuda wake.Mr virus, mwalimu anaandika kwa mikono miwili kwa pamoja
Dah... nimewahi kufanya kazi na wadosi...Hawa jamaa wameweka bahati mbele kuliko ujuzi .. Hadi wanaboa....Na hali halisi ya India
Dah....na peni yake ya astronautMi namkubali mkuu wa chuo,Yule mzee nuksi sana
Yes mimi naangaliaga kny azam sonymax, stargold.Huu mwaka naona katoa filamu 2 tu.. hata yule jamaa aliyecheza nae kama adui kwenye Force naona atamshinda
View attachment 965964
View attachment 965966
Love stories zao na action zao, kinachonivutia hasa ni story zao zina uhalisia japo mi ni mwathirika wa filamu za marekani hasa DC & Marvel ila wahindi stori zao zimetulia mnoo. kuna chaneli DSTV inaitwa B4U ndio hua napenda kuangalia hazijatafsiriwa pia zina Subtittles nyingine zile za azam na startime
Karibu pia hollywood umuone thanos the baddest anavyonyoosha watu....Yes mimi naangaliaga kny azam sonymax, stargold.
na kithembe chake..... dr ViruAisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus"This is symbol of excellence "
Nimeona iyo movie ni nzur mnoAamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Mnoko kishenzi walimwibia mthihani wake akatangaza vita kuu ya tatu ya duniaMi namkubali mkuu wa chuo,Yule mzee nuksi sana
Why?Siangaliagi movie za wahindi.
Why?Siangaliagi movie za wahindi.