3 Idiots ya Aamir Khan

PROFESSOR VIRUS
View attachment 966007

MTAALAMU WA KUANDIKA KWA MIKONO MIWILI
View attachment 966011

ILA HAWA VIJANA WATATU WALIMPA TABU SANA
View attachment 966013

HAHA AMAIZING.................
View attachment 966014
Mwenyew ananyonga baiskeli yake kwenda chuoni si kuna fala kajitokeza na kumpita bana weeeeeeeee mzee mtata huyu hakubali kuwa nyuma kamwe hahahaha
Wakati anaingia chuo akaitisha pre-meeting kuwapa info za chuo daaah mzee ana biti kali huyu ila alipigwa swali moja matata sana kuhusu kutumika penseli mwezini jibu akaja kulitoa mwishoni tena huku analia na jibu lenyewe sikulielewa kamwe
 
Inaitwa Hichki
 
Rancho alikuwa sahihi why Hawakutumia Pencil wenzake wakacheka lakini Virus pale ndo alipata shock akajua huyu kijana noma.. But jibu alimaanisha hivi mwezini Force of Gravity ni ndogo sana so vitu vinamove free na kwa speed ovyo ovyo so ingetokea Pencil ikakatika bhasi ile risasi inaweza kuleta madhara makubwa sanaa...
 
Hiyo movie naikubali sana. Yule Prof. hatari balaa ila nakushauri ujaribu kuicheki YouTube series 1 inaitwa THE GOOD DOCTOR kijana yupo field hospitali kubwa afu ni abnormal lakini ana akili balaa.
The good doctor nimeshaicheki iko poa sana .

Dogo ni abnormal sana .

Alikuwa hawezi Fanya surgery sababu hayupo stable anatetemeka.

Alikuwa interndoctor

Ila mwishoni kule alipewa part of surgery aimalizie.

Ila madocta wengine wakishindwa kujua tatizo dogo anaitwa anawaambia ni mahali Fulani

Nzuri sana
 
Bonge la movie ambayo sichoki kuangalia, ninayo since 2013 na sijafikiria kuifuta na mara kwa mara huwa naiangalia, last time kuiangalia ni jana
 
Anayezijua muvi kali za kihindi kama hizi atuambie..ili tuzidownload
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…