3 hour orgasm!! Gotdamnit!!

3 hour orgasm!! Gotdamnit!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,097
Reaction score
136,698
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyu mchuchu alipatwa na orgasm ya masaa matatu hadi ikabidi jamaa yake amkimbize ER.

Sasa cha kujiuliza, huyo jamaa yake alifanya mautundu gani hadi mdada akafikwa na hayo 'madhila'? Manake kuna wengine hata hawajui 'orgasm' ni nini.

 
Last edited by a moderator:
Kwamba 3hrs anapata mautamu juu kwa juu(mwemyewe mwenyewe) au
 
dah..noma sana..huyo mshikaji alimpa nin tena mpaka mdada wa watu ashidwe kujielewa kiasi hicho...
 
Hii peleka kule kwenye jukwaa la wakubwa, unatukomaza akili sisi under 16
 
Mh. Mi kwa kweli siyataki nisije nikakosa kuamka. Big O moja tu tamu vile na usingizi wake usipime jee hii?
 
Huyu alikua havungi kweli? walifikiriaje hadi wakafanya recording..
Hizi ndio ka zile za wenye Persistent Sexual Arousal Syndrome ambao wanaorgasm ka mia hivi hadi mia tatu kwa siku, kavibration kadogo tu kanaleta orgasm, hata simu tu ikivibrate kitu anaachia.. Noma sana, raha ikizidi kesi, hakuna utamu tena hapo
 
Hii ndio ile jamii ya wanawake wenye 'nyege mshindo' kupitiliza...

Hata akipitishiwa unyoya kwenye maeneo yaletayo sisimuko basi lazima acheue...
 
Raha zikizidi zinakua karaha lol....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom