2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

Nimeona man. Niliamua kupotezea coz kuelewa kifo cha Pac inabidi kwanza kuelewa 'the conspiracy world', halafu kumuelewa yeye mwenyewe pia.

Kwa ufupi tu, Pac alikufa kwa sababu ya mdomo wake na ushawishi wake kwa waliomskiliza. Aliwahi kukiri mwenyewe kwamba he had a 'big mouth', and that was the cause of all his troubles. Atakayeelewa hili kwanza ndio naweza kuendelea nae.

Kuhusu muziki na mafanikio yake. Pac hakuwa mtunzi, alikuwa anaelezea tu chochote anachokutana nacho katika maisha yake, chochote. Ndio maana ngoma zake nyingi ukiskiliza unaona hisia alizokuwa nazo, iwe hasira, woga, upweke, furaha, you name it. Hii ndio ilisababisha akawa na special connection na mashabiki wake na kufanya awe tushio sana kwa waliomuua. + the fact jamaa alikuwa na mizizi na damu ya harakati, na jina lake pia linamaanisha 'kiongozi' ama kitu kama hicho. So kifupi Pac alizaliwa kuongoza watu, na nguvu yake kubwa ilikuwa kwenye mdomo, kichwa chake, moyo wake. Jamaa walifanya kila namna kumzuia ila ndio kama walimchochea, mwisho wa siku he had to die.
 

poa mkuu umesomeka
 
moja kati ya quotes zake
im not saying im gonna change the world but I guarantee that I will spark the brain that will change the world.
 
"Michael jackson aliishiwa materials pia, sembuse Pac? Unataka kumfananisha 2pac na MJ!?
 
*so kama unapenda hip hope utampenda Tupac kama unampenda snoop sio lazima uipende hip hop*

Kwa hisani ya @kufimboplayer
 
Ukila maaragwe ukasema maharagwe haya ni matamu kama nyama.......hapo utaeleweka,ila huwezi kula nyama kisha ukasema ati nyama hii ni tamu kama maaragwe.......HAPO UNAKOSEA.........

Hivo basi......mpk sasa hakuna msanii wa tasnia ya HIPHOP duniani anafika kwa Lesane Parish Crooks AKA Tupac Amaru Shakur..........mafanikio aliyoyapata kiujumla ukilinganisha na umri aliokuwa nao pallarel hata huyo Sean Carter AKA Jay Z hakuwa nazo na hatofika kwasababu umri haurudi nyuma.......nawezasema 2Pac angekuwa hai angekuwa juu zaidi yao hadi sasa.

Kingine nikwamba haiwezekani sote tukawa na kipaji cha kiwa wachambuzi wa mambo......hivyo basi,nashahuri wengine wabaki ushabiki,ushangiliaji na ufatiliaji.
 
Huu kwangu Ni mstari bora kabisa ''I ain't a killer but don't push me ''iyo Ni ndani ya god bless the dead
 

Sidhani kama kuna siku nimewai kuplay playlist yangu bila kuusikiliza huu wimbo.....irs my favorite of all time
 
"Wise words must be quoted"

Quote ya msingi kwa quote zote duniani
 
Huu kwangu Ni mstari bora kabisa ''I ain't a killer but don't push me ''iyo Ni ndani ya god bless the dead
Hapana mkuu hiyo ipo katika makaveli(hail mary) verse ya kwanza kabisa ndio anaanza na maneno hayo.
 
na kwanini ujipendekeze kwao hilihali hao wapuzi weupe nao ni wabaguzi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…