Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,040
- 2,053
Story short,
I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children.
Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji anawaka, ana shout usimpangie.
Hapiki, hafanyi chochote. Yeye ni michepuko na vijana wadogo, kisa watoto na jamii yake, mzee katulia na ndoa yake asionekane mtu wa ovyo.
Despite all the sickness na shida yote, mzee yupo nyuma yake kila siku with all the support! Sio poa kabisa!
Haya maisha ya Kiafrika ya kutokuwaambia watoto tena wakubwa kuwa mambo sio mambo ni ujinga kama ujinga mwingine. Vitu viwe open tu. As children ulizeni wazazi wenu kama mambo yapo sawa, sio mnaishi tu.