25 worst password of 2012

25 worst password of 2012

Of-course in a long run uko sahihi.Hakuna total security ila ugumu wa kubypass system au software unatofautia kutoka moja mpaka nyingine kwa wakati husika.Much appreciation.

hizo software za kuhack password zinapatika wapi wadau kwani nahitaji sana au maujanja ya kuhack kwa namna ngine kama ipo, nipm mwenye kujua tutaelewana
 
hizo software za kuhack password zinapatika wapi wadau kwani nahitaji sana au maujanja ya kuhack kwa namna ngine kama ipo, nipm mwenye kujua tutaelewana

Kama unapenda mambo hayo nenda taratibu kwani ni kosa kutumia username na password za mtu mwingine( "identity theft").Unapenda uwe white hacker,grey hacker or black hacker?Principle ya muhimu ukiwa unafanya mambo hayo ni uwezo wa kuzuia usigundulike kirahisi,ask yourself how you can achieve that.Once you have the answers let me know just to see if you are right or wrong.Mi interest yangu ni "security" najitahidi kujifunza ili nifahamu vizuri.Unaweza ukahack password ukafanikiwa ila wakija kutrack back ukigundulika ni sababu tosha ya kufukuzwa kazi kama umeajiliwa na hasa kama IT policies zinafuatwa.Ulishawahi soma kitabu kinaitwa "The art of war" by Sun Tzu,soma kwanza hicho ukimaliza rudi.Hiyo kitu unayotaka ni vita so you need to know some basics of war.
 
Hapo Mkuu Timeelewana.....

Of-course in a long run uko sahihi.Hakuna total security ila ugumu wa kubypass system au software unatofautia kutoka moja mpaka nyingine kwa wakati husika.Much appreciation.
 
Back
Top Bottom