Ha ha ha we acha tu ndugu,,miminhua siangaliag tu matukio hua na angalia na vitu navyopenda,,kama hii season 5 nataka kujua ile gar anayoendesha Sara,,ile nayo imenikuna ileInaonekana na ww ni mdau wa magari kama mm.. Ipe gari inaitwa Toyota Sequoia ya 2010 kama ckosei.. Ni gari kali sana.. Na bei yake sio ya kitoto
Kweliii.. Ile ya sara hii season 5 ni bonge wa gariHa ha ha we acha tu ndugu,,miminhua siangaliag tu matukio hua na angalia na vitu navyopenda,,kama hii season 5 nataka kujua ile gar anayoendesha Sara,,ile nayo imenikuna ile
Lakini mkuu kuna 24 Legancy na 24 hours, Sasa hapo unaongelea hipi?
24 nilitokea kuizimia sana,hm ilikua bifu na waifu nikitoka job busy na laptop mpaka saa 9 usikJack Bauer ameniharibu sana kwenye movie ,yaani anajitahidi reality na fiction hazitofautiani
Bauer noma sana ,hebu anza kuangalia kitu chake kipya kinacho trend inaitwa destinated survivor24 nilitokea kuizimia sana,hm ilikua bifu na waifu nikitoka job busy na laptop mpaka saa 9 usik
Ha ha ha atazoeya maana sipigi ugimbi,atatulia tuu nala series,Bauer noma sana ,hebu anza kuangalia kitu chake kipya kinacho trend inaitwa destinated survivor
Kama shemeji hajanuna tena safari hii sio mimi
Na ukiwa kwenye pombe hadi saa 9 urudi home napo ugomvi24 nilitokea kuizimia sana,hm ilikua bifu na waifu nikitoka job busy na laptop mpaka saa 9 usik
Zile mutu zinaitwa jack bauer na chloe obrain ndio waigizaj walio nivutia sana,Inategemea watu huwa mna base ktk mambo yapi mnapoangalia series au movies. Lakini iache 24 iitwe hivyo na itabakia kuwa the best of all Times. Mpaka sasa kila nikiangalia series nyingine simalizi hata season moja huwa naona haina maana tena ni kama wamekop tu idea
Prison break ni show ya kibabe sanaukiniambie nilinganishe..
1.prison break
2.lost
3.24
kwa miongoni mwa series ambazo nimewahi kuzielewa zaidi....
Mimi nilikuwa napita tu mzee wa assist Raimundo kala ban mazima au ? Kwangu 24 itaendelea kuwa bora mpaka nitakapo badilisha mawazo24 imesababisha kila movie nayoangalia nisiielewe, naona kama copy paste za 24.
Prison break Habari ingine hakuna 24 angalau lost Japo wakimaliza vibayaukiniambie nilinganishe..
1.prison break
2.lost
3.24
kwa miongoni mwa series ambazo nimewahi kuzielewa zaidi....
Hivi unajua 24 ilisababisha Jack Bauer (kiefer sunderland) aende jeshini USA kutoa elimu kwamba ile alikua anaigiza tu!!..24 iliharibu akili za wanajeshi aty!, huezi ifananisha na PB iliyohit kwa ujanja tu!.Prison break Habari ingine hakuna 24 angalau lost Japo wakimaliza vibaya
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti pb imehiti kiujanja ujanja dahHivi unajua 24 ilisababisha Jack Bauer (kiefer sunderland) aende jeshini USA kutoa elimu kwamba ile alikua anaigiza tu!!..24 iliharibu akili za wanajeshi aty!, huezi ifananisha na PB iliyohit kwa ujanja tu!.
sasa kwani uongo PB imehit kwa ujanja wa scofield otherwise hebu nambie ina kipi cha ziada!?..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti pb imehiti kiujanja ujanja dah
Ujanja upi mkuu hebu tueleze?sasa kwani uongo PB imehit kwa ujanja wa scofield otherwise hebu nambie ina kipi cha ziada!?..