THEBLACKPEARL
Member
- Jun 11, 2015
- 69
- 46
Sasa hapo umelinganisha au umetaja?ukiniambie nilinganishe..
1.prison break
2.lost
3.24
kwa miongoni mwa series ambazo nimewahi kuzielewa zaidi....
[HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] ubora wake kwangu mimi...Sasa hapo umelinganisha au umetaja?
Don self...[emoji1] .. kachero ...kizabizabina...Theodore Bagwell..
panga upya list yako mkuu yani prison uliganishe na za kikorea hapo mkali wa prison ni 24 tuachana na 24 aseee...
inafuatiwa na show ya kibabe inaitwa Game of Thrones ikifuatiwa na Series moja matata sana ya kikorea inaitwa Dae Joyoung...
halafu ndio prison break.
season 1 and 2 hazipaswi kulinganishwa na upuuzi kweli lakini 3 na 4 hakuna cha maana sana labda tu wait season 5 labda inaweza ikawa ni zaidiAcha kufananisha Prison break na vitu vya kipuuzi ww
hakuna series inayoitwa priaon break au ni mpya mkuuPriaon break now nadhani naiangalia kwa mara ya kumi,ni noma hiyo series..24 haiingii ndani
Walking dead
kiufupi ni kwamba inaanza 24 then prison break asikwambie mtu hizi ndio show Kali zaidi mpaka sasa.Wadau,
Kunaubishani huku, naomba mtusaidie na nyie kati ya series ya 24 na prison break ipi ni series kali sana.
Achana na 24 aisee natamani muendelezo wake Russia ilikuajeachana na 24 aseee...
inafuatiwa na show ya kibabe inaitwa Game of Thrones ikifuatiwa na Series moja matata sana ya kikorea inaitwa Dae Joyoung...
halafu ndio prison break.
Me nilidhani peke yangu hakuna movie kama 24 hrs24 imesababisha kila movie nayoangalia nisiielewe, naona kama copy paste za 24.
Me nilidhani peke yangu hakuna movie kama 24 hrs