24/7

24/7

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1430763537329.jpg1430763537329.jpg
 
Huyu jamaa...sorry, Mh. Rais amefanya safari zaidi ya 366 katika kipindi chake cha utawala. Kwa wastani kila safari huchukua siku mbili na zaidi. Hii inamaanisha ana zaidi ya siku 730 akiwa nje ya nchi, katika kipindi cha "utawala" wake! Hii ni zaidi ya miaka miwili! But as you said 24/7.

24/7, 30/12 ×10, sounds like breaking a record
 
Huyu jamaa...sorry, Mh. Rais amefanya safari zaidi ya 366 katika kipindi chake cha utawala. Kwa wastani kila safari huchukua siku mbili na zaidi. Hii inamaanisha ana zaidi ya siku 730 akiwa nje ya nchi, katika kipindi cha "utawala" wake! Hii ni zaidi ya miaka miwili! But as you said 24/7.

Ni sawa lakini kaweka historea ya safari kwa rais wetu mpendwa na sijui hii rikodi itakuja kuvunjwa na rais gani tena dunia nzima kwa sasa wanaijua tanzania ilipo na hata hiyo misaada huwa hatukosi kwa kufahamiana na dunia nzima
 
Leo yupo usa so rekebisha mahebu yako hapo juu
 
Urais mtamu jamani kha! Cjui na mm nitangaze nia, nikishindwa walau naweza ambulia hata unaibu waziri au ubalozi wa Uzbekistan???
 
Huwa anaenda wapi? huko anakoenda kila akifika huwa anapigiwa mizinga? kila siku hodi? nielewesheni jamani.
 
samahani niulize...

ina maana ametoka haraka haraka kiasi kwamba 'kazi nyingine' inabidi afanye kwenye ndege? au labda pengine ni 'unyeti' wa taarifa zenyewe au 'mazingira' ya hapo ni kondusivu zaidi au??
 
"AIR FORCE ONE " ya bongo iliyowafanya mle majani ili kuinunua; huku wengine wakikokotoa 10%!!!!!
 
samahani niulize...

ina maana ametoka haraka haraka kiasi kwamba 'kazi nyingine' inabidi afanye kwenye ndege? au labda pengine ni 'unyeti' wa taarifa zenyewe au 'mazingira' ya hapo ni kondusivu zaidi au??

Anasaini mikataba ya wachina kabla hajafika huko
 
Huwa anaenda wapi? huko anakoenda kila akifika huwa anapigiwa mizinga? kila siku hodi? nielewesheni jamani.

Kuomba mikopo ya masharti ndio maana thamani ya shilingi yetu inashuka kila kukicha
 
Back
Top Bottom