>----------------------------->>> | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

>----------------------------->>>

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Feb 22, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kuna wawindaji wawili walienda kuwinda walipofika msituni wakiwa na gari yao wameipaki...karibu na msitu jamaa wa kwanza alikua mtaalam wa kuchuna ngoz na wa pili ndo mwindaji hodar..basi ikabidi aanze mwindaj aingie msituni kuwinda..alipofika umbali kidogo na gari mara akakutana na simba.,jamaa ikabidi aanze kutoka mbio za kufa mtu huku akimwambie mwenzake fungua fungua..alipofika karib na mlango ili angie akadondoka na simba kwa bahat mbya alipomkosa alikua ameruka ameingia ndani... Jamaa mwindaji akamwambia mwenzake huyo hapo wa kumchuna ngoja nikakuletée mwingine., sasa pata picha wewe ndo mchunaji ngozi
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  cheki walivyo wanafki.

  Beatrice – Shosti, mume wangu
  ananisaliti.
  Grace – Umejuaje?
  Beatrice – Nampigia sim
  namuuliza uko wapi, ananiambia
  yuko na Danny wakat Danny
  mwenyewe niko nae guest?? Si
  unaona huyu mwanaume
  alivyokosea uaminifu?
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mke:natamani ningekuwa gazeti ili unishike na kunisoma kila siku.
  Mme:napenda pia uwe gazeti ili niwe nabadilisha kila siku
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Majamaa watatu wakiwa jela.

  Mbakaji:nilivyo na hamu hata paka angetokea hapa ningembaka mpaka afe.
  Mwuaji:na mimi ningeendelea kubaka huo mzoga wake.

  Shoga katulia zake kwenye kona akisema >>>>>meeeeoowwwwwwwww
   
 5. Quirine

  Quirine Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mume ni mwaminifu zaid
   
 6. Quirine

  Quirine Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mkaree
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nilivyoona heading tu,nikajua Xcellent huyo.
   
 8. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Ole wake nikipona.
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Jamaa watatu walienda kuwinda porini wakapaki gari yao mbali kidogo , walipofika mbali kidogo wakakutana na simba ikabidi warudi mbio walipopaki gari, wawili walikuwa na speed kali walipofika wakaingia chini ya gari kujificha, Muda kidogo akaja mwenzao akarukia ndani ya gari akaliwasha huyoo akasepa zake
   
 10. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Pesa haina adabu!
  Tajiri: Shekhe nataka umswalie mmbwa wangu ktk maziko yake.
  Shekhe: Huwa hatufanyi sala hizo jaribu kwengine.
  Tajiri: ntampata nani ataenisaidia manake nna sadaka ya mil 10 hapa?
  Shekhe: Heem we hukusema km mmbwa wako muislam eti, nipe mie ntamswalia.
   
 11. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja nilale baada ya kunipa furaha,ukiangalia leo niko mwenyewe.ASANTE EX kwa kunifurahisha
   
 12. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  server not found!
   
 13. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha umenikumbusha ile sinema ya "gods must be crazy"
   
 14. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  duh we ndio unalia meeeeawooo nini?
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahaha hahahahahahaha,
  haki yanani nimechaka khaaaaa!
  hahahahahahhaaaaaaaaaa!
  Habari yake mchuna ngozi bana lol!
   
Loading...