2026 FIFA World Cup - Special Thread

Casemiro ali declare tangu mwanzo kwamba hatoongeza mkataba na kuwa dirisha kubwa atatimka.

Na mpaka sasa kama hujui Casemiro kaenda Inter Miami huko Marekani kuchukua mafao yake
Boss hiyo ni namna ya kuwekeana Heshima tu, sasa kwaharaka timu gani kwenye hizi top league inaweza kumpa mkataba Casemiro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…