2026 FIFA World Cup - Special Thread

FIFA wapuzuzi sana wanambeba sana huyu ANDUNJE😊
Your browser is not able to display this video.
 
😂😂hayo mambo mkifanya nyie inatosha, wacha me nienjoy vitu vya uwanjani.
 
Dah maisha sasa yamekuwa hayana raha world cup ilikuwa inatupa furaha bwana....2030 mbali sana aiseee
 
😂😂😂😂 sie tunalo, labda irudowe kwanza mechi na portugal.
 
FIFA wapuzuzi sana wanambeba sana huyu ANDUNJE😊
View attachment 3635293
Thomas Muller juzi amefunguka kusimulia tukio la mwaka 2010 kwenye World Cup lililomsababishia kupata kadi ya njano.

Your browser is not able to display this video.


Messi alishika mpira kwa mkono na ulivyotoka kwake ukaenda kutua kwenye mkono wa Muller ambapo mkono huo ulikuwa kwenye natural position.

Wakati tukio hilo linatokea, refa alikuwa karibu na Messi lakini hakufanya maamuzi yeyote.

Lakini Messi alipoona mpira umetua kwenye mkono wa Thomas Muller, Messi alim snitch kwa refa na jamaa akapewa kadi ya njano.

Ni kadi ya njano ambayo ilienda kumfanya akose mechi ya fainali kwasababu alikuwa na jumla ya kadi mbili.
Your browser is not able to display this video.

Na ukumbuke mwaka 2007 kwenye nusu fainali ya Copa America Messi alishika mpira hivyo hivyo mbele ya refa tena makusudi zikiwa zimebakia dakika chache mpira kuisha.

Refa (Carlos Chandia) akamfuata na kumwambia hii ni faulo ambayo ilistahili kadi ya njano ila sitakupa kadi ya njano, utanipa jezi yako kama return ya favour niliyokufanyia.

Na ukumbuke hapo Messi alikuwa tayari ana kadi moja ya njano aliyoipata kwenye michezo iliyopita, hiyo ikimaanisha kadi hiyo ya njano ingetolewa ingemfanya akose mechi ya fainali.
 
Njia pekee ya Argentina kupata shoot on target against Spain
 
After the final, Argentina players were seen turning their backs on Spain while lifting the cup. Many thought this was a sign of disrespect, but it was later confirmed they were just looking at the goalposts, which they hadn’t seen all game.
 
Hamna kitu bhana usitupigie kelele
Tujadili sasa stats za Anduje na Ronaldo kwenye mechi walizocheza dhidi ya Spaina.

Naanza na mimi, Ronaldo alikuwa na shot on target 2

Anduje alikuwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…