Hawamzingatii na hapo wanamfanyajeπ€£π€£π€£Anavyo jishika shavu ni kama anaumwa jino ila Spain hawamzingatii
View attachment 3633044
Kweli kabisa
Hii fedheha aisee Kuna wengine wanstafu bila hata fainalYamin Yamal at the age 19 anakuwa bingwa wa dunia.
daaaaaah nipeni maua yangu jamani kila nilichotabiri humu kimetokeaKila mtu anaona kwamba Argentina anaenda kubeba kombe leo mimi kama kawaida yangu hua sishabikii kitu kinachoshabikiwa na wengi. kwa facts nilizotoa kwenye post zilizopita naamini leo bingwa Spain. Let see