2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Zile mechi za Afcon zilimfunza kitu. Ameiga tabia za Egypt, Algeria na Cape Verde kupoteza muda ili kupoza mashambulizi au kuvizia ET.

Na usisahau kuwa Kipa ndio mchezaji pekee anayefanya ubao usomeke 0-0

Kipa ni wakupewa sana hongera hadi sasa.
Naunga mkono hoja
Kipa wa Argentina apewe pongezi
 
Hii sio faulo iliyostahili kadi ya njano kwangu mimi jamaa ame dive sana

Ni kama ile tu ambayo alipewa mchezaji wa Switzerland haikupaswa kuwa red kama hii


 
Back
Top Bottom