joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Hiyo mipango ya kocha,Argentina wanacheza kipumbavu mno,kila mda ni back pass tu aaaaahhhh😃😃 yanakera kweli
Nlikuwa(ga) na mmoja wa mikoa ya huko kusini naona kama yale yale tu ya wanyiramba.Shakira ni fireee anacheza kuliko Messi leo 😹😹
Tafuta watu wa kusini nasikia si haba wana miuno Shakira anaigiza..!! Kwa maneno ya mwanangu makaveli10 😹
Mama mchungaji heshima yako.😅😅😅😅😅
Muda wa kubishana unaoata wapi?Mashabiki wa Ronaldo leo kazi mnayo mchague upande wa Messi au Yamal
Hii tunasema ukikaa nchale ukisimama nchale
Minyumbuliko flani hivi.Maminyoo