ZinarudiHeh jamani zitarudi au?
Ngoja tuoneZinarudi
Wewe ukikosa mshindi wa 3 utakua una gundu kali ukae pembeni uangalie kesho Messi akinyanyua kwapaWanauzi hawa
Ila hii mnashindaKwa kweli itakuwa hakuna namna
Huziamini beki zako mzee mkubwa??Ngoja ball liishe.
2-4
Mpira uishe mrudi Ulaya mnatuchosha tuUzuri leo England hawachezi game ya kujilinda sana kabisa