Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,362
- 10,416
Ulikuwa unasubiri mabao ya MbappeUnataka kusemaje kijanaš¤£
Ulikuwa unasubiri mabao ya MbappeUnataka kusemaje kijanaš¤£
Imagine mtu unasema tumeshashinda ngoja nilale. Unaamka asubuhi unaaambiwa zimerudi zote 4.England mumeshaharibu mood yangu
Natamani England akose mshindi wa 3Ulikuwa unasubiri mabao ya Mbappe
Watu walishaanza kusema wangecheza hivi na Argentina wangefika fainaliImagine mtu unasema tumeshashinda ngoja nilale. Unaamka asubuhi unaaambiwa zimerudi zote 4.
Hawa england wameshakuwa matapeli
Kwani England wamekufanya nini mkuuNatamani England akose mshindi wa 3
Na pia sitamani Mbappe amnyang'anye kiatu Messi
Yaan nashindwa kuelewa š
Wameniudhi sanaššš Tuchel timu imemkataa kabisa
šKwani England wamekufanya nini mkuu
Au ulizuiliwa kuingia Uingereza?š
Anafosi mnoššš Tuchel timu imemkataa kabisa
Ngoja tuone itakuwajeNamsubiri substitution za Mwingereza
Huyu kocha wakamtupe Chelsea wao watafute kocha mwingineššš Tuchel timu imemkataa kabisa
Hii mechi inaamiliwa na ufundi WA mchezaji mmoja mmoja , Tatizo NI ufundiUfaransa wapewe nini tena ššš
Tulia š¤£Au ulizuiliwa kuingia Uingereza?
Nashangaa aisee...Inamaana Kiungo ya England imekufa kabisa
Ya nne inawatoshaUfaransa wapewe nini tena ššš