Au Alonso ndo aletwe England?Chelsea wana Alonso sasa
Kabisa mkuu saivi ingekua 4 x 4 tuone wakitoana damu ingekua hivi 🔥🔥🔥Hii mechi inaamiliwa na ufundi WA mchezaji mmoja mmoja , Tatizo NI ufundi
Dah tuta 😭Ya nne inawatosha
Kwa leo umewakosa wasubiri tena 2030 au 2028 kwenye EuroTulia 🤣
Sina maoni😎Kwa leo umewakosa wasubiri tena 2030 au 2028 kwenye Euro
Tumerudi mchezoniSub ya Anderson inaweza kurejesha uhai sasa
Tayari wameshampa dogo mweusi historia ya kupiga hat-trick kombe la duniaDah tuta 😭
Mmatumbi yankii amendika historyTayari wameshampa dogo mweusi historia ya kupiga hat-trick kombe la dunia