2026 FIFA World Cup - Special Thread

Okay je kwa shemeji utaondoka liniπŸ€ͺ
Nitafanya maamuzi baada ya Kombe la Dunia kuisha , baada ya kombe la dunia nitapumzika kwa mwezi mmoja nikifkiria ofa zilizokuja mezani kwangu maana nina ofa nyingi nono mezani kama Olise kwa sasa πŸ™ƒ

1. Nioe kwanza
2. Nikalime Kijijini
3. Nifanye kazi ya kuajiriwa bongo
4. Nikatafute maisha nje ya bongo (Europe, Uarabuni)
 
Ila Adriz dah 🀣🀣🀣
Umepakua nyama nyingi mwanetu
 
Kujishobdoa tu hakuna sehemu nilikuquote sasa kusema uache ni sawa na kujbaraguza. Punguza kiherehere mkuu. mbeleko fc hamna tofauti na serikali ya bi chura wameua watu oct 29 na bado wanajisifia wapo madarakani na wanamake another proud history.
 
Muhenga nilisema toka zamani... Leonordo da Vinci for reason
 
Duh!...
 
Hebu angalia hii!

This is unforgivable.

Hata Cape Verde walicheza vizuri zaidi ya hivi.

Yaani kuanzia dakika ya 55 England walipofunga goli mpaka dakika ya 92 ambapo Argentina walifunga goli la pili, England walimiliki mpira kwa asilimia 12 tu!

Tactic ya wapi hii? Hata timu za Afrika zilicheza bora zaidi ya hivi.

Mnaacha kabisa kushambulia mnategemea nini? Mbinu ya ajabu kabisa hii.

Na si kwamba England hawakuwa na uwezo wa kushambulia. Wana uwezo mzuri kabisa na huenda hata wangefunga goli la pili kabla ya Argentina kusawazisha.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…