VN Warehouse Limited
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 1,095
- 1,145
Ahsante sana kwa kutubu!!Mkuu,
Nimekubali messi ni kiumbe hatari sana
🔥🔥🔥🔥Kuna watu wanafikiri baada ya England kutolewa labda ntakosa team,.nataka niwatoe hofu kwamba kwa sasa nipo Argentina
Tukutane tarehe 19, saa nne usiku
Viva Argentina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi nipo kwa Messi hata wewe unajuaMuongeze uran na ShesRise_1 wakae mbali na spain
Wewe hua unanifananisha na nani?Muongeze uran na ShesRise_1 wakae mbali na spain
Hatimae Muda uliwadia mwanaume wa kweli hafungi magori mapema kama kukuRelax muda bado
Kun Aguerro.Kwa faida ya waliolala mapema jana, mchezaji bora wa mechi alikuwa MbuziView attachment 3630046
Sasa ziwezi kuwa Neutral.Muongeze uran na ShesRise_1 wakae mbali na spain
Tunyooshe mkuuKwa faida ya waliolala mapema jana, mchezaji bora wa mechi alikuwa MbuziView attachment 3630046
Hii mechi ingekuwa ni sisi Ufaransa tungeimaliza kitambo sanaUmeamkaje mrembo
Hiyo 2022 ilikuwa ya mbeleko
Michezaji gani baada tu ya goliMpuuzi ni yule kocha, ana mbinu za ovyo kabisa
Yule ni jini siyo mtu wakawaida kabisa vitapita vizazi vingi mpaka kumpata messi mwingineMkuu,
Nimekubali messi ni kiumbe hatari sana
Tazama huyu kiandeHii mechi ingekuwa ni sisi Ufaransa tungeimaliza kitambo sana
Argentina wanakutana na vibonde
Huyo mwenye tisheti nyeusi ni Kun?, jana wakati ubao unasoma 1-0 nilimuona jukwaani amekata tamaa.Kwa faida ya waliolala mapema jana, mchezaji bora wa mechi alikuwa MbuziView attachment 3630046
Mi huwa nakataa hilo la kwamba akili hatuna. Akili ipo ila kinacho gharimu ni kuridhika haraka.Wanakuja kusema eti wafrika hawana akili ya mpira.
Haya England naye amefanya kama Senegal kama Egypt.