Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Moto ni mwingi🔥🔥🔥🔥Kaka mkubwa, La Pulga tunae na tunatamba nae.
Hii WC 2026 analibeba tena haters waje kuf* na vihoro kabisa.
#Hallelujah!!!
Mpuuzi ni yule kocha, ana mbinu za ovyo kabisaMichezaji ya England ni mipumbavu sana🚮
Ni kipa tu ndio anajitambua
😂😂😂😂ila timu za Afcon jau sanaEngland wameyataka
View attachment 3629913
Mwanetu upo na hali gani huko? Umejichimbia wapi mwanetu bado unasonya?England anaenda kubeba hii world cup baada ya miaka 60 toka 1966 sasa 2026 anachukua world cup ya pili ....Viva England 🔥🔥🔥
Wanakuja kusema eti wafrika hawana akili ya mpira.Wale ambao huwa tunalaumu timu za Africa zinakata moto mida ya jioni leo inabidi tufute kauli. 🤣🤣
Aibu utaona weweEngland anaenda kubeba hii world cup baada ya miaka 60 toka 1966 sasa 2026 anachukua world cup ya pili ....Viva England 🔥🔥🔥
Bomba ilikuwa ya moto😀😀😀Wanakuja kusema eti wafrika hawana akili ya mpira.
Haya England naye amefanya kama Senegal kama Egypt.
Beki ya Spain wapashe misuli..Jamaa anagonga in direct na anawajua mno mana maisha yake yote alikipiga hapo😀😀Kama hujaalikwa kwenye Final kaa mbali 😂
Mimi siyo team Argentina wala siyo team Ronaldo lakini nipo mwendo wa kuhama tu.Team Ronaldo twendeni kwa Spain sasa japo hatuwapendi
Baada ya fainali utahamia ArgentinaMimi siyo team Argentina wala siyo team Ronaldo lakini nipo mwendo wa kuhama tu.
Natangaza rasmi Kwa sasa mimi ni shabiki wa Spain.
"Hailiki mpaka ichemke"
Tafuta japo moja uipende kwa mudaTimu nisizozipenda ndio zinaenda final
From where Sir😀😀"I'm back" by Penaldo 😂😂