2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kuna watu wanafikiri baada ya England kutolewa labda ntakosa team,.nataka niwatoe hofu kwamba kwa sasa nipo Argentina
Tukutane tarehe 19, saa nne usiku
Viva Argentina ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Amezingua sana huyo mjerumani pori, atakuwa amezaliwa Ujerumani Mashariki huyo
 
coaches kubadili plans inayofanya kazi games za msingi kuweka players wao kunaharibu games siku zote. they never learn. leo rogers kaanza wakati games zote huwa anaingia. Jana France Tchou Kaanza Kone Kaanza Bench Wakati Alikua Poa Games Zote
 
VICHAKA VYOTE VIMECHOMWA MOTOOO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

Fainali ni ARGENTINA A VS ARGENTINA B.
Kaka mkubwa, La Pulga tunae na tunatamba nae.
Hii WC 2026 analibeba tena haters waje kuf* na vihoro kabisa.

#Hallelujah!!!
 
Kuna watu wanafikiri baada ya England kutolewa labda ntakosa team,.nataka niwatoe hofu kwamba kwa sasa nipo Argentina
Tukutane tarehe 19, saa nne usiku
Viva Argentina ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅUmetisha
 
Argentina labda uwe unaogoza 5-0 ndo labda wanaweza wasiweze kurudisha magoliโ€ฆโ€ฆna hiyo itategemea na aina ya mchezo unaoucheza.
Kama majini jamaa..kuna Sub zinaingia unaona kabisa hawana muda wa kuchezea..Depal alivyoingia ,L.Martinez unaona kabisa Messi anajua huyo jamaa vichwa hakuachi
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜… leo mmesahau kumlau Refa mna mlaum Coach, nyie wajukuu wa kikongwe penaldo mna vituko.
Sasa coach kosa lake likowapi, yeye kaongeza mabeki wakacheze na kukaba, kufeli kwao maana yake wana uwezo mdogo, nyie hii World Cup hakuna wa kumzuia Messi ๐Ÿ
 
Coach kapewa hela na Raisi wa FIFA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ