Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Walinibeza hapaYametimia
Ila Argentina wanainyanyasa sana EnglandHapana, waliishia 16 bora.
Walitolewa na Argentina kwa matuta
ππHii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Hahahaaa.Acha kabisa! Hapa siwezi hata kusimama sijui miguu imekufa ganzi.
Haya mamipira yatatuua
Mkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizoIla ni kama ndotoππ
Lijinga kabisaKocha pumbavu zake
Kocha kabugi big timeMkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizo
Habari yako kaka π€£π€£πHii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Watakuja nazo tu hawakosi sababuTusisikie habari za kubebwa hapa.
Tusishangae Argentina anabebaAmna timu ya kumzuia spain apa
Hakuwa na mbinu zaidi ya hiyo mbele ya Messi..Kocha kabugi big time
Kabisa hii mechi mie kama ningekuwa GS wa The Fa, lawama zote kwa bwana tuchel. Subs gani zile unafanyaKocha pumbavu zake
Spain Yamal ajue kuwa Idol wake hana mchezo zitapigwa pasi ngumu ngumu wakileta utoto..Jamaa ni makatili mnoTusishangae Argentina anabeba
Kweli mkuuMkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizo
Scars huwa analalamika kila kitu huyu jamaa π€£π€£Niseme tu kwamba huyu bwana ni mchawi. Duuuh.
Scars tupe uchambuzi tafadhali
Wachazaji mbona anao wakushambulia....unajua mentaly unavyoingiza mabekinbasi wachezaji nao wanamuwa na attitude ya kulinda....wee mwnzio anaingia washambuliani wewe umekaa unakodoa macho tuuHakuwa na mbinu zaidi ya hiyo mbele ya Messi..