Hiyo Haina comeback subirini chuma Cha piliWatafanya comeback ya kibabe
Mzee nawewe leo upate hata Raha maana unabadili timu mpaka hurumaIla tunashambuliwa View attachment 3629901
Haya sawaWatake wasitake wataachia tu😂 ni suala la muda
Hii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoffEngland wakiendelea na mpira wao huu wa kimakonde.
Wanapigwa chuma Sio Muda.
Tuma salamu kwa watu watatuIle Mbeleko ishachanika
Mambo ya janjajanja yana mwisho
Haya. SawaNa England mpira wao wa asili
Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoff