Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,539
- 61,986
Tunasawazisha muda si mrefu…nimekaa pale
England anashambuliwa muda wote, na yeye hata counter attacks hana.Na England mpira wao wa asili
Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoff
Tangu mwanzo hakuna aliyetegemea england kufika hapo alipo . Walidharau sana mpira wa kingerezaNa England mpira wao wa asili
Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoff
Ukilala wewe inatoshaEmbu lala acha kuangalia mpira Sofa score.
Sio kwamba wanapenda mkuu hali ni ngumu 😆mambo ya kuruhusu mashambulizi muda wote yatawagharimu England