moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,858
- 777,111
πππππππππππππPunguza gubu
Weka za portugal.
πππππππππππππPunguza gubu
Weka za portugal.
π€£π€£π€£π€£ππHizo weka wewe sasa
Wanashindwa kucheza mpira wanarukiana hovyo hovyoNgoja timu moja ipate red card ndio akili zitawarudia
Mimi ni team Messi lalkini mimi siyo team Argentina.Wewe kama unajua team yako ilishatolewa WC au ilifungwa semifinals, basi hakikisha unakunywa dawa za presha vizuri, maana MESSI π ataendelea kuwatia presha na sukari itawapanda
Ukimchukia Messi π basi unauchukia mpira, Mpira ni Messi na Messi ni mpira, yaani ukizungumzia mpira unamzungumzia Messi π