2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwanza Argentina hakupangwa kundi dhaifu bali juhudi zake za kushika nafasi ya kwanza zimemfanya awakwepe vigogo. Hiyo timu unayo ishabikia wewe Ureno, ilipangwa na timu zipi tuanze kwenye Rank za FIFA, tusiongee kwa hisia? Maana hata Ureno angeshika nafasi ya kwanza,basi robo ndio angekutana na timu ngumu ambayo ni Argentina, sasa yeye mwenye kashika nafasi ya pili sasa tutamsaidiaje wakati kazembea mwenyewe.Halafu kwenye michuano hii, timu gani ilipagwa kwenye kundi gumu? Utasema trend najua nyie timu CR7,okay Colombia kashika nafasi ya kwanza, kakutana na Ghana, then akatolewa na Uswizi, Uswizi akakutana na Argentina akapigwa.Okay kwa Trend hii Ureno kama angeshika nafasi ya kwanza si alikuwa anajipigia, ila yy mwenyewe kazingua.

Messi zidi ya Uholanzi Messi hakumkejeli mtu, bali alireact baada ya bench la Uholanzi kumzingua, so aulitegemea akae kimya?Okay kwani mchezaji akifanya kama alivyo fanya Messi zidi ya benchi la Uholanzi, refa huwaga anafanyaje?

Kwa hiyo wewe mind reader, criteria gani uliotumia kumuona Infantino alikasirika baada ya Cape Vedre kuchomoa goli mbili?

Wapi huyo Infantino aliyaweka hayo mapenzi yake wazi (Vizuri ukashare reputable sources).

So kupewa penalty tano ndio kupendelewa?OK unaweza kushare hizo video tano za hizo Penalty kuonyesha huo upendeleo.

Unazidi kuwa Muongo ,hebu soma hii
Halafu niambie wapi hizo hela zilitumwa account ya FIFA maana tuhuma za AFA zipo hapa "U.S. federal authorities are examining whether hundreds of millions of dollars in AFA-linked commercial revenue were laundered, specifically targeting international sponsorship and media-rights funds." Halafu hizi ni tuhuma ambazo zinazofanyiwa uchunguzi na hazihusiani na FIFA.

TATIZO LAKO UNAONGEA HISIA ZAKO ZILIZO JAA MAUMIVU ZINAZO KUPELEKEA KUWA MUONGO.
 
Jana Spain walikua wanacheza kwa mabavu ile mimi naiita kata funua na km England au Argentina akikutana na Spain asipocheza mpira wa mabavu na yeye anachezea na Spain anachukua ndoo timu yoyote itakayokutana na Spain inabidi icheze kwa mabavu sana
 
Jana Spain walikua wanacheza kwa mabavu ile mimi naiita kata funua na km England au Argentina akikutana na Spain asipocheza mpira wa mabavu na yeye anachezea na Spain anachukua ndoo timu yoyote itakayokutana na Spain inabidi icheze kwa mabavu sana
Mkuu, hata head to head France huwa anapasuka mno
 
Pain landed as intended.
 
Jamaa atakuwa na msongo wa mawazo maana baada ya Cristiano wake kuwa na poor performance ever jamaa akahamia kwa Pemba, pemba nae kaondoka so jamaa anafosi wachezaji anao wakubali washinde kwa maandiko yake yake marefu Jamii Forums. Amechanganyikiwa
Jamaa anateseka sana juu ya Argentina, yeye kila kitu kwake kipo scripted. Nashangaa kama anahisi ni hivyo, kwanini timu anazozikubali zisipambane kabisa zimtoe? I mean wapige magoli mengi, hayawezi kukataliwa, halafu wazuie kwa akili uone kama yupo wa kuwazuia kushinda..

Eti wanakutana na timu rahisi, huyu jamaa anaugua
 
Teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ wewe umepumzika tu kwa muda...

Najua tu baadae utarudi kundini tuungane tena..πŸ’•πŸ’•πŸ’–
Toka kombe limeanza
Mimi timu yangu Ilikuwa France tu, niliweka Imani sana kwao maana last time tuliteleza tu kidogo
Wapuuzi hawa wanatoka kizembe namna hiyo
 
Anza kama ulivyoanza na taaluma yako ya urefa.

Hiyo hapo pichani una amua nini?

Na hapo kumbuka kuna favor za Messi na kuna favor za timu.

Faulo 14 hakuna kadi, mwenye faulo 11 ana kadi 5

Kuna vitu hata ukipinga unaweza kujiona mjinga.
Hili kombe lipo kwa ajili ya kumbeba Messi na Argentina
Jamaa linabebwa nje nje na mipenati ya mchongo ambayo anakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…