Safari imeivaKiutani utani hivi hivi utashangaa france anarudi nyumbani ๐
OffsideHuu sasa ni usenge
Kwamba Nan abebe?Mikakati kombe limekuwa Scripted๐๐๐
Mkuu mipangoSpain wachawi sana
๐ฅน aibuuWakuu hivi nnachokiona ni kweli au naota๐ค
Nimeusoma mchezo kipindi cha kwanza ,nimetoa ushauri humu , now siangalii tena game nakula pombe , kama hajafuata atapingwa kama ngomaSi kwamba Spain ni hatari?
Bado kabaki EnglandKuna watu wahamiaji wanapata tabu sana, kila wanapohamia matanga๐ ๐
#Hallelujah!!!
Hujui kinachoongelewa Mkuu si ndio kelele za pande fulani๐๐Kwamba Nan abebe?
Umebeti?Tunahitaji goli 3 kabla ya Dk 90
Leo hata sielewi wanachokifanya.Zungumzeni sasa nyinyi mashabiki gundu wa Ronaldo na michezaji ya kiafrika. Goli la IQ kubwaa sana. Nyani Ngabu amka kaka uje kuwaona hawa wafaransa weusi.
Leo wanaoga nyingiUfaransa imeingia kwenye mfumo