2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

England wamekuwa watepetevu sana. Ila Argentina anaruhusu sana magoli. Hata hii mechi yao ya saa kumi ni ngumu sana kwao.
Argentina anacheza kama hatua za makundi. Ndio maana huwa anaonekana anakoswakoswa kuondolewa. Anakuja full nondo anapiga kazi hana wachezaji wa kurudisha mpira nyuma kama hawa kina Madueke.

Ukichangia kwamba ana wafungaji basi wana offset hilo tatizo la kufungwa kisa hawajapaki bus.
 
Back
Top Bottom