Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,433
- 9,124
Naona amemganda sana mzee mmoja hapa sijui ni mwalimu huyu mzeeAnapiga na shisha?
Wanapenda sana
Naona amemganda sana mzee mmoja hapa sijui ni mwalimu huyu mzeeAnapiga na shisha?
Wanapenda sana
Haaland ana chuma zake 2 hapo subiria kabisa.Labda ashinde njaa
Kama tunakuona vile mdau wa 3 Lions!Labda ashinde njaa
England na yenyewe ni kama inacheza mfumo wa ki Arsenal. Kwa mechi hizi kadhaa.Hizi sub ni za Ki-Arsenal
Waliotoka na walioingia