Hapa SA haondoki na pointView attachment 3605973
Msimamo wa Kundi A.
Bwana mie nimeshindwa aamka maana nilikuwa nimeboreka na sauz nanutopwinyo wa bwana huho broosKwa hii game ya South Korea vs Czechia.
Hili kundi Sauz wasipojipanga vizuri watagawa utamu sana.
Cc; mzabzab
Wee timu pekee iliyo undwa na wachezaji wa ligi ya ndani pekee kwa asilimia kubwa tunatarajia basi muonyeshe ulimaengu kuwa inawezekana...mweee!!!! Broos analetwa utopwinyoz. Kanikera sana uje. Wee mdau wakuonekana mchezajinwa kawaida wakati wote tunaojua mpira tunajua hakuna beki wakulia mzuri africa hii kama mdauSio mchezo
Jana wakamgeuza uchochoroWee timu pekee iliyo undwa na wachezaji wa ligi ya ndani pekee kwa asilimia kubwa tunatarajia basi muonyeshe ulimaengu kuwa inawezekana...mweee!!!! Broos analetwa utopwinyoz. Kanikera sana uje. Wee mdau wakuonekana mchezajinwa kawaida wakati wote tunaojua mpira tunajua hakuna beki wakulia mzuri africa hii kama mdau
Warudi nyumbani kwao kulinda ajira zao.Wa South wanakula red cards kama wao wanavyofukuza Waafrica wenzao kwao
Mmeupiga mwingiii
Mechi za leo ni muda ule ule kama za Jana???