Hawa walikuwa weupe kabisa sema kocha wa sauz kazingua sana leo. 4231 formation imekupeleka world cup...unafika world cup unabadilisha mfumo kwenda 532...si ufala huo. Maamuzi ya kijinga kweliSema Mexico hafiki mbali naye
Huyu aje bongo ndio ligi jtakiwa tamiHuyu refa akichezeaha mechi za Bongo,kuna team zitamaliza mechi zikiwa na wachezaji 4 tu.
Warudi kwao wakapambane na HIV... Maana hakuna nchi Africa inawazidi kwa maambukizi..South Africa warudi kwao tu, wakamalizie Pombe zao walizo ziacha Mezani.
Unajilinda kwa Mexico kwel😃au ndo kitete cha kuwa yupo nyumbaniHawa walikuwa weupe kabisa sema kocha wa sauz kazingua sana leo. 4231 formation imekupeleka world cup...unafika world cup unabadilisha mfumo kwenda 532...si ufala huo. Maamuzi ya kijinga kweli
Kwamba aliingia kwa lengo la kupata sare tuUnajilinda kwa Mexico kwel😃au ndo kitete cha kuwa yupo nyumbani
Nadhan ndo ilikua planKwamba aliingia kwa lengo la kupata sare tu
Kuna nchi aibu sana katika mashindano hayaNadhan ndo ilikua plan
South amezingua asipobadilka anaaga mapema sanaKuna nchi aibu sana katika mashindano haya
Ngoja tupumzishe vichwa baada ya muda tuangalie CzechSouth amezingua asipobadilka anaaga mapema sana
Yanga wanaweza toka woteHuyu refa akichezeaha mechi za Bongo,kuna team zitamaliza mechi zikiwa na wachezaji 4 tu.
Na hao mabeki wa Tano bado wakawa wanalenga goli lao.Hawa walikuwa weupe kabisa sema kocha wa sauz kazingua sana leo. 4231 formation imekupeleka world cup...unafika world cup unabadilisha mfumo kwenda 532...si ufala huo. Maamuzi ya kijinga kweli